Happy Birthday Lecture Mentor

hee! jamani kwani kuna ubaya wowote kumjibia Mentor ?
au unawaza nini hapa? mhm! :biggrin1::biggrin1:
mhhhhh mamiiiii .mbona unamjibia mentor kwesheni mark nyiiiiiiiiiingi ????????,???
 
Last edited by a moderator:
Jmniii bazazii mstaafuu...happy happy bday...wshing a long happy and rich life
una miaka mingapi kwa hyo?
badiebey mimi sijawahi kuwa bazazi. au unani-confuse na nani?? Vin Diesel?

Thanks anyway...umri wangu ni piemu nitakuambia...

Mentor alizaliwa mara mbili kama kwenye movie za kihindi vile.

Happy Birthday Preta and Mentor.

Wewe Bazaz Mentor leo keki haikuhusu hata kidogo.

Bazazi Nicas Mtei, nashukuru kwa wishes. Leo nala 'keki' ingine!

ahahahah!..taratibu baba paroko..
mwallu unajua adhabu za hii kitu mnafanya hapa kwa wall yangu zitakuangukia wewe peke yako. Endeleeni

Cc: miss neddy, Eiyer, Kaizer Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo) na wote mnaoongea kizungu kwenye hii sredi...
 
Last edited by a moderator:
Jmniii bazazii mstaafuu...happy happy bday...wshing a long happy and rich life una miaka mingapi kwa hyo?
badiebey mimi sijawahi kuwa bazazi. au unani-confuse na nani?? Vin Diesel? Thanks anyway...umri wangu ni piemu nitakuambia...
Mentor alizaliwa mara mbili kama kwenye movie za kihindi vile. Happy Birthday Preta and Mentor. Wewe Bazaz Mentor leo keki haikuhusu hata kidogo.
Bazazi Nicas Mtei, nashukuru kwa wishes. Leo nala 'keki' ingine!
ahahahah!..taratibu baba paroko..
mwallu unajua adhabu za hii kitu mnafanya hapa kwa wall yangu zitakuangukia wewe peke yako. Endeleeni Cc: miss neddy, Eiyer, Kaizer Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo) na wote mnaoongea kizungu kwenye hii sredi...
 
Last edited by a moderator:

Hepi besidei mukulu!
 
jamani bestito hujielewi tena labda wamekufanya operation ya kukuwekea MEMORY ili
uwe na ufahamu wa kiutata zaidi ukiwa bungeni

halafu kitu kingine si ulimpachika mtu :mimba:ndo mana unakuwa hauko sawa
Duh! Hata sijui nimekuaje siku hizi. Najikuta sielewi elewi. Ina maana RAM imepungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…