Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Eiyer . Evelyn Salt nu miss neddy na paroko wangu Kaizer mshaona wapi mtu anazaliwa siku hiyo hiyo anaanza kuchimba mkwara watu wazima?..hatutishiwi nyau Mentor lol
me sijawahi kuona kabisaaaaa
huyu lazima atakuwa mtoto mtukutu huyu
Ile keki iliyoliwa juzi pale Escape ilikuwa ni ya birthday ya nani?
Sitaki tena nasema sikubali kabisa... Naenda kufungua mashtaka kwa my lawyer Ruttashobolwa, yaan siku ya party tumesherehekea birthday ya Mentor kiuongo uongo.... Walaah naandamana kuwasue Mtambuzi na Mentor kwa kutudanganya!!!!
sijawaza kitu mamiiiiii
Sitaki tena nasema sikubali kabisa... Naenda kufungua mashtaka kwa my lawyer Ruttashobolwa, yaan siku ya party tumesherehekea birthday ya Mentor kiuongo uongo.... Walaah naandamana kuwasue Mtambuzi na Mentor kwa kutudanganya!!!!
oky kama ujawaza kitu ila elewa kuwa huyo ni mtoto wangu nimetoa leo pale KCMC moshi majira ya adhuhuri
na nikaona niwahabarishe marafiki zangu waliopo dimbani hapa wanipe hongera na mwanangu pia?
badiebey mimi sijawahi kuwa bazazi. au unani-confuse na nani?? Vin Diesel? Thanks anyway...umri wangu ni piemu nitakuambia... Bazazi Nicas Mtei, nashukuru kwa wishes. Leo nala 'keki' ingine! mwallu unajua adhabu za hii kitu mnafanya hapa kwa wall yangu zitakuangukia wewe peke yako. Endeleeni Cc: miss neddy, Eiyer, Kaizer Evelyn Salt (ni PM lokesheni mpya nikufuate tuongee jambo) na wote mnaoongea kizungu kwenye hii sredi...
yaaani umempa jibu muafaka kabisaaaaaa
hivi nyie akina Paw, @Moderate, Invisible na tchao mna nini na mm
kwanini nyuzi zangu mnazihamishia huku wakati ni ruksa kwa member mjengoni
hapa kuweka uzi popote anapopenda kama anafuata masharti yenu?
kwanini nyie mmekuwa kiherehere kwa kunimuvuzishia thredi zangu kiasi hichi
nasema SIJAFURAHSHIWA KABISA na mtindo wenu rudishe kulekule mmu hii kt
anhaaaaaa thanks kwa taaarifa mamito tazizo hukunipa taarifa kuwa mentor ni ukooo wa watu8
Hafu wewe. Unaniuziiiiiiiiiiiiiiiiii bado una kesi ya kujibu ujue