guys,senkyu all fo nice msgs.nitakuja soon kujibu all of them. niko busy manake kwa wasiofunga nafukuzia vinywaji na vyakula vya hapa na pale,manake jioni nimeiweka kwa ajili ya futari itakayoandaliwa na wifi yangu ashadii na kaizer (aliyeitwa mume mtegaji kupika). hivi mume wa wifi kwa kizungu na kiswahili anaitwaje?

King'asti wewe ni mwanasheria,mwinjiliti, mchungaji, mwalimu, shehe, mbona uko na majibu ya kistaarabu sana, MAY GOD BLESS YOU hundred times.
Happy birthday my dia.............Mungu akupe maisha marefu na matamu kuliko asali.:clap2:
Heri ya siku ya kuzaliwa King'asti...ujaaliwe kuishi miaka miingi uone wajukuu zako wakifikisha umri uliofikia wewe leo!
happy bday swir....long live and prosperity.....
Happy birthday.....
Happy bday King'ast Mwenyezi Mungu azidi kukulinda na kukuongezea wingi wa baraka zake
I wish you a lovely day, not just to this day because it is your birthday, but all year round. May you always wake up in the morning with a smile on your face. Happy Birthday King'asti !
😛opcorn:
Your word to me leo ni command.... chochote utapata! AND after all i never buy
birthday cakes for i believe home made (no matter how bad) are made with love....
Hakika umesamehewa dhambi zako. Enenda kwa amani, usitende tena dhambi.
HOW TO IMPRESS A WOMAN
Compliment her, cuddle her, kiss her, caress her, love her, stroke her, tease her, comfort her, protect her, hug her, hold her, spend money on her, wine & dine her, buy things for her, listen to her, care for her, stand by her, support her, go to the ends of the earth for her.... and remember her Birthday & Annivesary...
Yaani hii post i will tresure for ever katika hiyo heshima kubwa nilopewa..... Dah!
Asante ODM.... Naamini nikikwama utakua unaniongoza kwa ushauri wa hapa na pale...lol