Happy Birthday JK!

Mi nasubiria tabasamu lake kwenye sherehe,sjui Mc atakuwa kibaraka wao Ki b o nde,?sjui yangu macho
 
Doug%252BPitt%252BNamed%252BGoodwill%252BAmbassador%252BTanzania%252BVYq30mnJnaol.jpg
 
Happy Birthday mtawala wa wadanganyika! una miaka mingapi sasa? Hivi bado hujafika umri wa kustaaf au unarudisha umri nyuma?

Unafikiri Rais ni Mwajiriwa wa Serikalini mpaka arudishe miaka nyuma?
 
Naomba Mungu akulaani JK Kikwete kama unavyowafanya watanzania
 
ujumbe wangu ni mmoja tu kwa dr. "aongeze juhudi ili apunguze kulaumiwa, ikiwezekana afanye maamuzi magumu ili historia imkumbuke"
 

mwnyezimungu mwingi wa rehma
akupe umri mrefu weneye manufaa.
Akuruzuku ya kukupendeza duniani na akhera.
Akuwezeshe kutekeleza vyema majukumu uliyo nayo,
akulipe mema kwa unayo patia na akusamehe kwa yale
unayo kosea kwani hakuwa mwanadam ila ni mwenye kusahau.
 
Star prezidwaa
I love you, jk, and want you to know,
I feel your love wherever I go.
Whenever I've problems, you're there to assist,
The ways you have helped me would make quite a list.

Your wisdom and knowledge have shown me the way,
And I'm thankful for you as I live day by day.
I don't tell you enough how important you are,
In my universe you're a bright shining star.


May the best of your past be the worst of your future.
happy birthday

:ballchain::canada::poa:focus: BABA NI BABA !! RAIS NI RAISI HONGER MHESHIMIWA AL HAJJI DK J K MRISHO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom