Hakika ktk kipindi chakeTusubirie Praise & Worship, ije ikuambie madaraja na barabara zote kajenga mtu fudenge! 😀 wanajua kujitoa ufahamu wale!
Everyday is Saturday..............................😎
Leo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya:
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi...
Hakika JK alifanya, tena mambo tangible sana. Sema nini, alitukanwa mno, tena sana. Kumbe haijalishi watu umewafanyia nini, mwisho hawaridhiki tu kama asili ya binadamu ilivyo.
Alifanya yote hayo then wafipa wa ufipani wakaishia kusema wanataka dikteta, woooooi! You got what you wanted and now, everyone is crying, wanasema "be careful what you wish for". So, ngoja tuburuzwe coz it was our wish.
Kwenye hicho kipengele Cha kutukana huenda hata muweka mada alifanya hivyo pia!Hakika JK alifanya, tena mambo tangible sana. Sema nini, alitukanwa mno, tena sana. Kumbe haijalishi watu umewafanyia nini, mwisho hawaridhiki tu kama asili ya binadamu ilivyo.
Alifanya yote hayo then wafipa wa ufipani wakaishia kusema wanataka dikteta, woooooi! You got what you wanted and now, everyone is crying, wanasema "be careful what you wish for". So, ngoja tuburuzwe coz it was our wish.
Sifa huja mwishoni sio mwanzoniHakika JK alifanya, tena mambo tangible sana. Sema nini, alitukanwa mno, tena sana. Kumbe haijalishi watu umewafanyia nini, mwisho hawaridhiki tu kama asili ya binadamu ilivyo.
Alifanya yote hayo then wafipa wa ufipani wakaishia kusema wanataka dikteta, woooooi! You got what you wanted and now, everyone is crying, wanasema "be careful what you wish for". So, ngoja tuburuzwe coz it was our wish.
Team MATAGA? Jifunze kuwapenda wanaokukosoa kuliko wale team praise n worship..hao wanakuingiza chakaKwenye hicho kipengele Cha kutukana huenda hata muweka mada alifanya hivyo pia!
We subiri hata huyu papa mobimba akiondoka utawaona wanaorodhesha mambo! Ishakuwa kawaida.