Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
haya nakuombea mema usije imalizia sherehe hospital kwa kuchezea vitasa.
oukey,hezbend! waiting 4 u!
wewe ndio utakuwa wa kwanza kuleta kichanga chetu duniani then cute na etc upo hapo?
haha kuna ndege inapita kubeba watu rubani ni klorokwini
Saint Ivuga hiyo ndege haitakiwi kupita kwenye anga ya nyumban kwetu maana mpaka sasa hatuna uhakika km zile wish zetu na mme wangu Rejao km zimefia au laa!tuliambatanisha na dolari elfu 5 kwa ajili ya vinywaji,mpaka ukitupatia taarifa za kupokea huo mzigo ndio hilo dege litaruhusiwa kupita anga hizi na sisi kuhuzuria huo mnuso hatutaki vibia vya kuonja ebo!
you can say that againhaahahhaaa mtu wangu si unajua mi bado kindaaa
Cantalisia mzima weye?
Mie mzima kbs,niko na papa Rejao hapa nilikua nampa cha mchana kachoka kidogo,anakupa hia na mahongera ya kutosha ya birthday yako.
you can say that again
hahahaaaa huyu klorokwini ni fundi sanaaa sijui mtamzuiaje ...zawadi mlimpa nani azilete jamani? ama mlimpa uncle Kaizer ? naona meza yake imejaa mavitu ya bei za ajabu ajabu pale ila sherehha inaaza soon ..ukumbi mzima umelipiwa kuanzia saa 2 hadi majogoo
Sijakuelewa kinda Saint Ivuganiibe basi jamani
ingia hapa utaona picha yake www.hightableyakaizerwajf.co.tz
soma hapa
ingia hapa utaona picha yake www.hightableyakaizerwajf.co.tz
Asante kwa kunipa first priority, yan natamani kuingia kwenye pc yangu afu nitokezee hapo ulipo tuanze mchakato!!!!!!
Kaizer aatakuwa katupia kirusi hapo si unamjua uncle mbwembwe nyingiiiimbona hii link haifunguki ama umechakachua?
Happy birthday Mtakatifu.........!
Ubarikiwe maisha marefu, yenye mafanikio mema katika ulimwengu huu