Happy Birthday Ivuga

on behalf of my sweetheart YM, happy birthday Saint Ivuga, kip turning them numbers boy!
 
Aspirin bana,hivi hujui CUTE na mwali walipinga nani atawahi kumkabizi mzee keki ya besdei.
Shhhhhhhhhhh sipaswi kulisema hili lakini sharti ilikuwa keki ikabiziwe bedroom......the rest.......
Hili li mtakatifu lina zali sana asee... naona tena kuna ka charminglady nako kanamnyemelea....khaa! Mwali kajipendekeza na salamu wakati CUTE na charminglady wanajilia tartiiiibuuuu! Khaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
happy birthday comrade Ivuga!
Ee Mola muumba wa mbingu na nyota,uliyetoa uzima juu ya mja wako huyu hadi sasa bila kupewa rushwa wala kuchakachua uhai wake,endelea kumjalia neema na baraka,umwepushe na wote wenye roho mbaya katika mafanikio yake,mahusiano yake,mzidishie furaha na amani tupu!AMEN.
 
Happy Birthday Saint Ivuga.

Tunakutana wapi jioni? Ushongo au?

Na wewe acha kujishobodoa,wenzio wana threesome spesho party.
Halafu we konnie ujue sijakutia machoni siku nyingi.
 
haahaaha hawa mabinti wameninyweshaje vinywaji jana usiku..
yaani ndio nimeamka nataka nimuulize mwenyekiti wa sherehe klorokwini..mimi leo ni mtoto
asante sana kwa ma wishez

Mkuu embu tupe siri ya mafanikio yako,mzizi gani unatumia,kuna watu humu wana miaka wanatongoza lakini hola,halafu we kamanda unagombewa ka mpira wa kona!
 
Last edited by a moderator:
Hili li mtakatifu lina zali sana asee... naona tena kuna ka charminglady nako kanamnyemelea....khaa! Mwali kajipendekeza na salamu wakati CUTE na charminglady wanajilia tartiiiibuuuu! Khaaaa!!!

Hili jamaa lina mzizi aisee,we fikiria jitihada zako zote kwa kongosho mpaka kumnunulia kiwanja mbagala charambe yaani mpaka leo hajakuruhusu hata nyonyo uguse!
 
Last edited by a moderator:
Hili jamaa lina mzizi aisee,we fikiria jitihada zako zote kwa kongosho mpaka kumnunulia kiwanja mbagala charambe yaani mpaka leo hajakuruhusu hata nyonyo uguse!
Bishanga naona unampiga babu msumari..kumbe alinunua hadi kiwanja na watu wakachukua kiwanja wakatembea ..makubwa kweli haya ...tatizo la babu ana mbwembwe nyingiii
 
Bishanga naona unampiga babu msumari..kumbe alinunua hadi kiwanja na watu wakachukua kiwanja wakatembea ..makubwa kweli haya ...tatizo la babu ana mbwembwe nyingiii

Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
Source: msondo ngoma
 
Happy birthday kijana, mungu akujaalie maisha marefu inshallah,na upate katika vyote vizuri unavyotamani vyenye kheri na wewe.
 
Saint Ivuga, This is to wish you the best happy birthday this year and many more to come and I really wish Mwali atakuwa anaziadaa kama hivi hadi Mzeeke pamoja :clap2::clap2:!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…