Hii party yenu mbona mimi amjanialika...lol.. Mpaka nimevamia
Lazima nimshughulikie, nikikumbuka ulivyomshauri shemeji langu uporoto aniongeze mshahara afu akakubali...lol...huyu mlinzi Tf ndio kamruhusu kupita eeh, nishamwona bodigadi anamshughulikia.
We! Nipo hapa mpendwa! Nani analeta shida hapa?..huyu TF naona kazi ishaanza kumshinda, ameruhusuje wazamiaji? Hajui kazi ya wazamiaji ni kuharibu shughuli za watu?..
Lazima nimshughulikie, nikikumbuka ulivyomshauri shemeji langu uporoto aniongeze mshahara afu akakubali...lol...
Nashukuru wifi langu...ur kaka bado yupo safarini mpendwa...amebanwa kidogo, naiman kufikia jioni anaweza akajoin hii party....ila tutawahi kuondoka coz atakuwa amechoshwa na safari...My beloved Wifi...usijali wala hukustahili kabisa kuomba msamaha... Vin ni kaka yangu thus shem wa Darling Kaizer... Wee ni Wifi yangu hivo yastahili wee umwite kaka sbb mmeoa na kuolewa nyumba moja... Hata hivo kaka sijamuona hapa.. bado yupo safarini??
Alafu my beloved wifi always remember I Love you too...
Hahaha...nitashukuru sana swahiba langu la ukwee'...mshauri shemu langu basi..hahahahaha, mwaka huu lazma tukupeleke comoro ukapunge upepo.
Umeanza kukosa imani na bodyguard au?....tatizo litoke wapi wakati mimi niko hapa na ile binduki ya mamkwe wako King'asti a.k.a mke mwenzangu?kama kuna tatizo nikakodishe walinzi kutoka kwa gadafi.
Ok, happy birthday mamangu, nimekupigia simu ikapokelewa na mchina 🙂
Umeanza kukosa imani na bodyguard au?....tatizo litoke wapi wakati mimi niko hapa na ile binduki ya mamkwe wako King'asti a.k.a mke mwenzangu?
Ok, happy birthday mamangu, nimekupigia simu ikapokelewa na mchina 🙂
Hahahah.....lol!Ok, happy birthday mamangu, nimekupigia simu ikapokelewa na mchina 🙂
Mie simu yangu kwenda kwa Husninyo alipokea baniani 🙂🙂 lol!
Tatizo Ritz mtu akikuona tu anaogopa hata kukusemesha... labda awe PAW....lol...
Good gal.basi bodigadi, i trust uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.