Happy Birthday Husninyo!

Husny mtoto mzuri.... Ni furaha kwetu kwamba uliletwa hapa ulimwenguni
kwani ni moja ya watu hutupa furaha na AMANI saana hapa JF.... na nyumbani pia....
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akujalie... Akubariki...
Akuneemeshe katika maisha yako yooote...
Na pia akujalie Maisha marefu yenye FURAHA na UPENDO.
Kumbuka kua Tunakupenda saaana.


😛oa......HAPPY BIRTHDAY HUSNINYO.......😛oa
 


Sweetie pole na kazi ngumu ya kuweka mambo sawa hapa huku ukiangaikia kamati zoote... Nina amani mambo yameenda vizuri kabisa... ila tu Wifi King na Sweetlady wanadai wameelemewa hivo Msaada wa Bebii unahitajika kwa ajili ya Mapambo. Naona Sherehe nyingine tutafute taratibu zingine sababu hiiio sector ya jikoni nachoka saana na kushindwa kujumuika vizuri katika sherehe..... Ila tu niseme kua una case (hizo cake it was supposed to be a surprise asizione... King huko KACHUKIA.... Lakini nisiwaingilie saana. ila tu mbona kama vile RR Kazi ulompangia kama unamtoa kwenye majukumu kijanja??
 
Orait Orait mipango endelevu inaendelea Husninyo sijui bado kalala


PA... I hear kazi hapo mlangoni imekubana kweli.... nimemwita Kivumah aje asaidie.... maana kishakua mkubwa sasa baada ya ile birthday yake.



Hepi besdei Husninyo, hau oldi a yuu nao?

Happy Birthday Husninyo..Ubarikiwe sana

Nyie wakuu hapo juu... Nikiangalia Mwongozo hapa naambiwa mko upande wa entertainment... Sijui mumetuandalia nini...lol

Happy Birthday, Husninyo.
Kila la Heri, unapoanza Mwaka Mpya katika Maisha Yako.


Kivumah tunahitaji msaada wako kupokea wageni Mlangoni... kuhakikisha ulinzi mzuri... Kazi ya ziada ni kuhakikisha wageni wanapoondoka umkague Asprini glass kwenye koti lake....lol

a a.....hivi kumbe ndo leo eeh....HAPPY BIRTHDAY....HUSNINYO

Preta naskia wee mtaalam saana wa kareoke... (nimesahau spelling)... nakutegemea dear hivo wimbo wa Birthday naomba utatuongozea...

Happy Birthday Husninyo..!!!!

"Hope that your day will be as special as you are" ;

Nakutakia mafanikio na furaha katika maisha yako kama unavyowapa furaha wengine.... 🙂


VOR Walau kumhakikishia Husny furaha leo.... Siku ile ulisema unajifunza tango... naomba tafadhali leo tuone.. Ukikosa partner nitajitolea...




Hello Libra 🙂 have a lovely and enjoyable birthday.


Bak if you don't mind.... naomba Uni uploadie wimbo wa "FOREVER YOUNG" kwa ajili ya Birthday gal Husny... Version ya Jigga.
 
Kumbe anabagua husn mbona hajawai kunipa na mimi furaha

Ha ha haa Mkuu nina uhakika unatania tu...!! au labda standard zako za furaha ni kubwa sana...!!! 🙂

Anyway hata comment za kumpa moyo mtu hapa na pale zinaweza zikawa furaha tosha; wahindi wanaamini Karma (kama ukitenda wema basi utapata mema)

Well Mother Theresa alisema yafuatayo ;
[h=1]"Let no one ever come to you without leaving better and happier"[/h]
Well binafsi nadhani huyu dada ni mcheshi na anawapa ucheshi wanaomzunguka... (kwahiyo ninamuombea katika maisha yake akutane na watu wacheshi ili aendelee kuwa mcheshi..."

Kwahiyo ndugu yangu utakubaliana na mimi kwamba ucheshi wake ni kuwapa furaha wanaomzunguka..!!!

"If you see a friend without a smile; give him one of yours."
 
Happuch... habari yako dear.... najua ratiba yako siku zoote iko tite... But naomba unisaidie walau kuandaa Meza ya Buffet... maana chakula tayari kabisa kwa kuliwa...lol

Habari yangu njema AshaDii. Yaani usijali kabisa my dear...........meza itakuwa tayari soon. Asante kwa kunipa nami jukumu....🙂
 
Happy Birthday Hus
Maisha marefu yanakuhusu na upewe baraka zote za kuishi maisha marefu


R' Mwongozo wa Sweetie hapa unaniambia umesimamia upande wa picha i.e Camera man and Video... Mambo yanaenda huko??
 
Shukurani kwako Kaizer kwa kuokoa jahazi si unajua jana tulikuwa tunaomboleza kibongo(kaunta ya juu), nimeacha maagizo kuna chupa kubwa ya Grants kaunta kama shukurani zangu,nawashukuru pia Aspirin,Bebii,Preta,V of R,Finest,Aminata,Ashadii na wengine wote mliopita hapa. Kuna watu sijawaona bado labda wako njiani King'asti na shemeji langu Sweetlady.

Husninyo i wish you a happy birthday,good health and lots of happiness(by my side ofcoz lol!)
 
Habari yangu njema AshaDii. Yaani usijali kabisa my dear...........meza itakuwa tayari soon. Asante kwa kunipa nami jukumu....🙂


Happuch usipewe majukumu na hali kichwa kimetulia hivo?? Ndio maana nimekupa Sector inayo define sherehe.. ili tukiwa karibu tukifanya kazi tunabadilishana na mawazo mambo ya family... si unajua tena akina mama lazima uwe ngangari....lol
 
Afadhali,naona na siku zako za kufa zinakalibia.una thamani gani duniani?naongea na wewe husninyo..
Kwani we malaika mtoa roho ? nani kakupa kazi ya kuhesabu siku za kuishi ?

Ongera thana mtoto toto toto natamani nikupakate nikubebe duh ongerahah toto
huu uchokozi umpakate kama nani ?

Kumbe anabagua husn mbona hajawai kunipa na mimi furaha
dogo naona hujawahi kula kabari namba 14 wewe ?
 
Jamani where is my DARLING SHEM... Na nahisi anajizungusha tu hafanyi kazi yoyote... Walau hapa Sweetie yeye kenda kufuata Mahitaji mengine....
 
Happuch usipewe majukumu na hali kichwa kimetulia hivo?? Ndio maana nimekupa Sector inayo define sherehe.. ili tukiwa karibu tukifanya kazi tunabadilishana na mawazo mambo ya family... si unajua tena akina mama lazima uwe ngangari....lol

Ni kweli kabisa dear, ni muhimu sana kubadilishana mawazo, najua sitakosa hekima kutoka kwako ili kuboresha zaidi huku kwangu. Thanks.
 


Hizo shukrani umetoa itabidi tu nisubiri mzee aje mwenyewe... Kikubwa Uporoto naelewa jinsi nyie wanaume huchemka kutafuta zawadi za wapenzi wenu... Vipi umeandaa nini... usije ukaanda zawadi ya ajabu alafu NN akaja na zawadi ya maana zaidi... maana naona kama kuna ka compe fulani hivi...lol.. Bora niambie nikupe a woman's perspective...
 
Ni kweli kabisa dear, ni muhimu sana kubadilishana mawazo, najua sitakosa hekima kutoka kwako ili kuboresha zaidi huku kwangu. Thanks.


Mpenzi haya mambo ni two sided.... amini usiamini muwapo wawili lazima kila mmoja atapata japo moja ama mawili toka kwa kila mmoja.... Hivo hata mie nashukuru pia...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…