Happy Birthday Husninyo!

dua au laana?
 
Happy Birthday Mpendwa!
Bora nimechelewa kuliko kutowahi kabisa.
Ninakutakia maisha marefu zaidi yaliyojaa uzima na furaha.
 
Happy belated birthday dear. Nisamehe kwa kuchelewa. Nakutakia furaha na amani katika maisha yako.

Mimi penda wewe sana.
 
Happy belated birthday dear. Nisamehe kwa kuchelewa. Nakutakia furaha na amani katika maisha yako.

Mimi penda wewe sana.

ahsante kbd. Hujachelewa sana karibu leo kamati ndio inavunjwa. Mi penda wewe pia.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…