Happy Birthday Husninyo!

Hahahahaha!... Umechafua CV?... Khaaa! Nimecheka sana! TF hufai walah...
 
Hivi nani anaweza kunambia nimejikutaje 7000 Brookside Parkway??? Nakumbuka nilikua party, then nikaenda club... alafu blackout! nimejikuta ndani ya nyumba ya NN, with marafiki zangu wawili, wamelala kwenye makochi, mmoja kajichafua nwele na matapishi......
Mi mwenyewe nililala ndani ya chumba (cha nani, sijui) ila naona niko salama, hakuna kitu kiliendelea.
Issue ni namna ya kutoka saa hizi, huku nimevaa nguo ya party ya jana. mnaikumbuka?

halafu jana ulitoka bomba, nina wasiwasi hamisi kishindindo a.k.a nyani ngabu alikuteka.
 
Happy Birthday my Daughter, ni jambo lakujivunia kuwa sasa Mie Mtambuzi nimekuza..................... Hongera sana mwanangu
 
Happy Birthday my Daughter, ni jambo lakujivunia kuwa sasa Mie Mtambuzi nimekuza..................... Hongera sana mwanangu

thank you dady, najivunia kuwa na mbaba mtambuzi. Anti na anko walirekebisha kila kitu. Lol.
 
halafu jana ulitoka bomba, nina wasiwasi hamisi kishindindo a.k.a nyani ngabu alikuteka.
Nakumbukaaaaaa, Jamani pombe mbaya. yaani nililala kwa Nyani Ngabu jana? haya bwana. Ngoja sasa nimpigie sim aje atufungulie maana alifunga nyumba na kuondoka, akiogopa hawa marafiki zangu watamuiba flatscreen yake...
 
Wishing a very very happy Birthday Husninyo. Be Good.
 
Nakumbukaaaaaa, Jamani pombe mbaya. yaani nililala kwa Nyani Ngabu jana? haya bwana. Ngoja sasa nimpigie sim aje atufungulie maana alifunga nyumba na kuondoka, akiogopa hawa marafiki zangu watamuiba flatscreen yake...
hahahahaha, kawafungia nyumba karudi msituni.
Hapa nanyanyua vyuma, akirudi lazima ale ngumi za kutosha.
 
MwaJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJ..............aseee leo umenitendea haki kwa ku du ze nidful na kunigongea laiki kibwena. Siamini macho yangu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…