Nitakuchapa sasa hivi. 😀😀Hee
Kumbe unatujua hadi makabila yetu
Haya Mkuu,
Tupe kaselfie
Nitakuchapa sasa hivi. 😀😀Hee
Kumbe unatujua hadi makabila yetu
Haya Mkuu,
Tupe kaselfie
Nimekosa mimi 😂😂😂😂Nitakuchapa sasa hivi. 😀😀
Au nikwambie umekula nini leo😂😂 utajua hujuiNimekosa mimi 😂😂😂😂
Kuna watu sijui kujichanganya kuanza nao battle aiseee
Unaweza kuzimia unajiona🤣🤣🤣🤣
UtajijuuuuWatoto wa kike wa dasalam mnazidi kututia jambajamba wanaume tokese pesa tabu tupu saiv limejaa wimbi la upungufu wa nguvu za kiume shida zote za nini![]()





hebu mzoee udugu,Bas sawaa.Nitakupigia simu moja ya maelekezo.
Tumepishana week 1, mie ni 17/12.



Aminaaaaaaaaaa!!Mweee nilipitwa jmn Jana
Kumbe tumepishana siku na coca
Happy birthday shost
Mama mchungaji nakuombea Mungu akupe yaliyo mema,akujaze kwakweli




Ahsanteeee mtani wangu.




Shem hiI wishes sijaikubali haina vionjo imepooza
Km ndugu wa mke nakata rufaa. Au mnasemaje ndugu zangu?! Tayana-wog Antonnia nyie mmemuelewa shem?!




huogopiii wee?Ahsanteee dada Anne



Ila kuna viazi lazima waekwe sawa bro.Lamomy and Saint Anne.
Don't fight meaningless battles. Not every opinion is worth your energy. Know who you are and that's enough. You don't have to explain yourself to people who aren't adding value to your life.