Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,937
Yaani huyu aniadopt niwe mdogo wake kabisa 😂🤣😂Nimekosa mimi 😂😂😂😂
Kuna watu sijui kujichanganya kuanza nao battle aiseee
Unaweza kuzimia unajiona🤣🤣🤣🤣
Lile battle lilikuwa tamu sana, halafu bro hatumii nguvu ana mi evidence yake ya kushato anaiporomosha tyuu!! 😂😂😂


