Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,393
- 94,713
😂😂😂 basi nimeacha bae 😘Hii hapana
😂😂😂 basi nimeacha bae 😘Hii hapana
Hakuna kupumzika, tutapumzika kaburini udugu 😂😂😂Hapana udugu asavali pamepumzika sasahivi!😊
Ngoja kwanza, antonnia ana king Sasa hivi? King gan?😂😂😂😂 ww umewaanzia kuwafunga mdomo na king wako
Treeenaar tukomoshe mama miongozo kila mtu akae kwenye nafasi yake 😂😂😂😂Mieee!!🤭🤭 mbona bado sijaanza lamama nikianza nina hekaheka sio za nchi hiii😁
Yule yule mwenye miongozo yake JF 😂😂😂Ngoja kwanza, antonnia ana king Sasa hivi? King gan?
😂😂😂YaisheWw tena na venye compressor bovu 😂😂😂
Hapana aisee, hilo ukweli simshauriAsavali umemkatalia asikianzishe aseee 😊! Lamomy mumeo kaamuru uache ukorofi 😊
Antonnia naomba samareee, maana sijaelewa kabisaWee kantri usimskize Lamomy anakutania huyoo hata hakuna kitu khaah Lamomy nakugawa buree walai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahiv nnalo LA kushatooo, babee angu anapo pa kushikaa.
😂😂😂😂 Nakuzoom😂😂😂Yaishe
Hana nyonyo lakini...oya sema kama cocastic hajaolewa nipeni namba zake
Mwaka utafungwa kibabee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo chacha, na tuwafungie mwaka wapoteane, shenzy zao