Unajua hadi sasa niseme sijaelewa vizuri
Birthday hugs cocastic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu zawadi inijie ikiwa full.
Ww nishakufungulia code 😂😂😂Antonnia naomba uniweke wazi please, nakuomba
Upo kwa nani sasa hivi? King ni nan?
We Smart humjui?! Udugu karudia koloni lake la zamani!! 😂😂😂Unajua hadi sasa niseme sijaelewa vizuri
Duh, karudi kwa nan?Karudi kasema bora zimwi ulijualo kuliko malaika usiyemjua 😂😂😂
Miongozo mwenye smart phone zake mjini JF 😂😂😂King who which where???? 🕺😁
One & only Miongozo a.k.a Mambo yao waachie wenyewe 😂😂😂Duh, karudi kwa nan?
🤣🤣🤣🤣 hivi sikufuta hiyo comment?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ulikua unaumwa nn? Eti cku shipa limesimama dede ndo ukawa na amani, unaogopa mlingoti kutosimama? Woiiiiih
Si bado uko virgin..🤣Ila ana nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyooooo!! Haya code hiyo imefunguka 😂😂😂Kwani Wee una taarifa nilikua kwanani kwani best angu kipenze hebu ning'ate sikio? 😁🤣
Daah anaitwa nan? Hiyo code bado sijaelewa kiukwelWw nishakufungulia code 😂😂😂
Yule aliyekuwa anagombaniwa na mishankupe bhana 🤣
Watu na mazimwi yenu 😂😂😂Zimwi langu ama nene 🕺🤣🤣🤣🤣!
Mie simooo Lamomy hizo kesii utazinaliza mwenyewe 🚴🚴🚴🤣
Nipe hela nikutajie kwa vitendo 😂😂😂Daah anaitwa nan? Hiyo code bado sijaelewa kiukwel