cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Kwa kuwa umesema mapema kuhusu Ulanzi, ngoja nimwagize jirani Mama Matembo atuandalie hizo dumla 3.Ahsanteee sanaa Gran pah!!
Naomba niandalie na ulanzi dumla 3, nilewee had baas.
![]()
Udugu zawadi anatoa cantry ndio namsikilizia hapa tukujaze
Ila lazima nikate ya ganji



uduguu zawadi inijie ikiwa full.Enjoy to the fullest shossswewe treinaaahhhh! Hunaga baya na mtu best akee!

eeh ndiwoooo!!!Ila coca bana, kwa hiyo ndio umekuja sasa hivi?
Btw happy bday



sasa shem, maisha hayataki nitulie, mwendo wa kukimbizana na jua tyuuh.😂😂😂 naomba airudieKakimbiza wengi sana sikuhizi wanachungulia nakupita kimya kimya tu Rabbitus ni hatareeee...



jomoneeee.😂😂😂Huyu huwa ni mjanja mjanja sana, unafikiri alikuwa hayupo?Yaniii sijui alikua anakazwa tangu asubuhi kweli mxxxieeeeeeeeww zake 😊! cocastic 🤠
Kwa kuwa umesema mapema kuhusu Ulanzi, ngoja nimwagize jirani Mama Matembo atuandalie hizo dumla 3.
Hilo limeisha Mjukuu, sema lingine![]()



mama matembo yupi? Naemjua huyu mcharukoo khaaahSeriously?hata maneno ya mwisho hujaona?kukuombea hapo mwisho upate matako makubwa hujaona?ahsanteee!! Ila lugha sasa daah.
Treeeenaa 👌Ni yeye tu hakuna mwingineer... Hurrraaayyy kwa Mj akeee hurray!😊