johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,038
- Thread starter
- #21
Amina!Happy birthday CCM. Chama changu toka moyoni..
Amina!Happy birthday CCM. Chama changu toka moyoni..
Hilo ni dongo kwa makao makuu ya Chadema pale Ufipa!Soon tutasherekea miaka 100 ya Uhuru hata choo tunategemea misaada
Ni kweli ndugu yangu. Acheni kututajia hii presha inayoitwa CCM. Ni shida jamani. Kwani hamuoni? Hata kama hamjui kusoma, hata picha inawashinda kutafsiri? CCM ni shida. Mtu hata awe mzuri kiasi gani akiingia tu CCM anakuwa Ibilisi. Hamuyasikii ya Silinde?Nyuzi hizi ndio zinasababisha watumishi wa umma kuanguka na presha mara kwa mara,wanakuaga na hasira sana
Aibu sana kama ni kweli mtoto wako anaitwa D.Tukimstua atajua yeye ni defused, deceased and desensitized born creature!Pole kwa D.Jioni Party eeee😉😉😉😉😉
Dah..zamani hii ni siku ya mapumziko....na maandamano!Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
.Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli bila ya kumung'unya, kuongeza au kupunguza maneno, CCM sasa ni Cancer kwa Tanzania, kwa watanzania, kwa Afrika mashariki na kwa Afrika yote kwa ujumla wake.Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
AMIN, thumma AMMIN!
Sifa kuu ya kua mwanaccm ni kuropoka na kusifiaNi miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
Komrade ni jambo jema kulitakia happy birthday chama dume.Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo
Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka
Maendeleo hayana vyama!
Kile ndiyo kilikuwa CHAMA CHA MAPINDUZI, hiki cha Siku hizi ni CHANZO CHA MATATIZO.CCM ya nileteeni fulani ni tofaut na ccm iliyoanzishwa kupitia TANU,, iliyopo saizi n SISIEMU
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.