Happy birthday Mama Maria Nyerere!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,439
Leo tarehe 31 December 2023 mama na bibi yetu anasherekea miaka 94 ya kuwepo kwake duniani (kwa mujibu wa Madaraka Nyerere).

Amekuwa first lady wa mfano kwa kutopenda makuu pamoja na kushiriki safari ndefu ya Taifa letu akiwa mke wa baba wa Taifa hili. Mama Maria Nyerere ameishi kwenye ndoa na baba wa Taifa Mwl Julius K Nyerere kwa miaka 45.

Kupitia mtandao wa Dodoma Zone wanasema alikataa kuitwa first lady na pia aliwahi kurudisha zawadi ya mkufu wa almasi aliopewa na Meneja wa mgodi wa Mwadui.

Happy birthday Mama Maria Nyerere. Mungu akubariki na kukulinda daima.
 
Back
Top Bottom