Happy Birthday CCM!

Ni kweli ndugu yangu. Acheni kututajia hii presha inayoitwa CCM. Ni shida jamani. Kwani hamuoni? Hata kama hamjui kusoma, hata picha inawashinda kutafsiri? CCM ni shida. Mtu hata awe mzuri kiasi gani akiingia tu CCM anakuwa Ibilisi. Hamuyasikii ya Silinde?
hivi ni nani yule alikuwa mstari wa mbele kudai katiba mpya alivyochaguliwa tu kuwa katibu wa chama flani amenyamaza kimya nikumbusheni.An empty stomach is not a good political advisor
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo Makubwa ya KUIBA KURA
 
Komrade ni jambo jema kulitakia happy birthday chama dume.

Ccm sio Chama cha siasa bali kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Kwa jinsi ccm ilivyomezwa na dola kwa maagizo ya Magufuli, hata wao kwa sasa hawaoni umuhimu wa zile sherehe za shamra shamra, maana wanajua fika hakuna ccm bali kiburi cha madaraka cha mwenyekiti wake.
 
TUPATE BURUDANI KIDOGO.

Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go

Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)

Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR

(chorous)

Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...

(Chorous)

outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
 
Ccm sio Chama cha siasa bali kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Kwa jinsi ccm ilivyomezwa na dola kwa maagizo ya Magufuli, hata wao kwa sasa hawaoni umuhimu wa zile sherehe za shamra shamra, maana wanajua fika hakuna ccm bali kiburi cha madaraka cha mwenyekiti wake.
Hoja juu ya hoja ambayo unatakiwa kuithibitisha.
 
Aibu sana kama ni kweli mtoto wako anaitwa D.Tukimstua atajua yeye ni defused, deceased and desensitized born creature!Pole kwa D.
Mbona una jazba sana?! D ana bahati kubwa sana huwezi mfananisha hao wanao unaowalea maisha yaliyolaaniwa, maisha ya chuki, maisha ya dharau, maisha ya kuwa kibaraka ndani ya nchi yako...... Acha ushamba wa kulazimisha kila mtu afanane na wewe., Jifunze ustaarabu japo kidogo tuu kwa kuheshimu na kupita kimyakimya kwenye yale usiyoyaamini
 
Mbona una jazba sana?! D ana bahati kubwa sana huwezi mfananisha hao wanao unaowalea maisha yaliyolaaniwa, maisha ya chuki, maisha ya dharau, maisha ya kuwa kibaraka ndani ya nchi yako...... Acha ushamba wa kulazimisha kila mtu afanane na wewe., Jifunze ustaarabu japo kidogo tuu kwa kuheshimu na kupita kimyakimya kwenye yale usiyoyaamini
Unajieleza meengiii!Ila elewa tu weye ni boya kama boya la ngalawa.
 
Kati ya wewe una Mimi ninayejieleza na wewe unayetukana unafikiri hapo nani boya😅😅😅
Mwanasisiemu halafu kinyeo cha bata.Very stupid!Karne hii unajinasibisha ni MCCM!Matako mpauko kweli weye!Hivi unaishi Kijiji gani nyani weye?
 
Mwanasisiemu halafu kinyeo cha bata.Very stupid!Karne hii unajinajinasibisha ni MCCM!Matako mpauko kweli weye!Hivi unaishi Kijiji gani nyani weye?

Kwa hiyo ndio umeamua kuleta tangazo na kuniquote kwamba wewe Moisemusajiografii una kinyeo cha bata. UKO Very stupid! Karne hii unaitukana MCCM! UNA Matako mpauko kweli weye!

HAYA Moisemusajiografii SIFA ZAKO TUMEZIPATAAAA WANAOKUHITAJI WATAKUFIKIA ILA NYOOSHA MAELEZO...... Hivi unaishi Kijiji gani nyani weye?
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
Nothing to say about this murderous political party
 
Back
Top Bottom