Happy Birthday CCM!

Ni siku ya kukumbuka Adui Mkubwa wa maendeleo na ustawi wa nchi yetu. Aliyeanzisha Chama hiki ana mchango mkubwa sana wa kuzorota kwa Taifa letu. Hiki sio Chama ni janga la Taifa. kwangu mimi maadui wakubwa wa maendeleo ya Taifa letu ni Ujinga, Maradhi, Umaskini na CCM
 
Nyuzi hizi ndio zinasababisha watumishi wa umma kuanguka na presha mara kwa mara,wanakuaga na hasira sana
Ni kweli ndugu yangu. Acheni kututajia hii presha inayoitwa CCM. Ni shida jamani. Kwani hamuoni? Hata kama hamjui kusoma, hata picha inawashinda kutafsiri? CCM ni shida. Mtu hata awe mzuri kiasi gani akiingia tu CCM anakuwa Ibilisi. Hamuyasikii ya Silinde?
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
Dah..zamani hii ni siku ya mapumziko....na maandamano!
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
.
FB_IMG_1572697051230.jpg
FB_IMG_1591342478234.jpg
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli bila ya kumung'unya, kuongeza au kupunguza maneno, CCM sasa ni Cancer kwa Tanzania, kwa watanzania, kwa Afrika mashariki na kwa Afrika yote kwa ujumla wake.
 
Ilaaniwe siku ambayo huyu Monster alizaliwa Tanzania. Tunaombea huyu beast anayeitwa ccm aondolewe si tu Tanzania bali katika uso wa dunia hii.
- Ewe laana na baba ya umaskini utakufa lini
-Ewe mumiani mnyonya damu muuaji usiye haya utakufa lini?
- Ewe maaluni mkubwa mwana mtoka pabaya ufe haraka sana usiendelee kuwa kikwazo!
Kufa we maluni ili tupate katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, maisha mapya na maendeleo yasiyo na ubaguzi
CCM kufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
Sifa kuu ya kua mwanaccm ni kuropoka na kusifia
 
Kuna ndugu yangu wa damu alizaliwa this day...na akapewa jina CCM... 5th Feb 1977 - leo ana 44.

Ila kwa matendo ya CCM nimem discourage afutishe hilo jina na nimefanikiwa!!

CCM ina watu wa hovyo sana hasa hawa wa awamu hii, kinachouma zaidi ni kupoka haki ya watu zilizomo ndani ya Katiba ya nchi bila hata hofu ya Mungu wala aibu!!

Bad birthday to you CCM.
 
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
Komrade ni jambo jema kulitakia happy birthday chama dume.
 
1612534807147.jpeg

Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.

Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.

Hongereni kwa kutuletea elimu bila malipo

Hongereni kwa miundombinu iliyotukuka

Maendeleo hayana vyama!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom