Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,125
Mie taonja mara moja tu!!
Hi totoz......
Mie taonja mara moja tu!!
Hi totoz......
Hi ngabu......
Ssshh tunapeana utraamu kwanza
Happy birthday 'Valentina'
Thanx murembo.... Wapi mumeo jamani?
Ha ha ha vya wame tena mmmh
Hi totoz......
Muhaya katika ubora ha ha ha kama mkurya na panga au mzaramo na ina ya tako
Nani Mhaya?
Eeeh.....
Mkuu si ulibadiri ID ukawa unajiita nani nani sijui(s/b Mugizi)?!
Mmh haya ''unaandika lakini?''
Ndiyo,kwani we umejipangaje?
Aaaah hahahahaaaaaa kumbe unazungumzia mambo ya Richard Mugizi.....
Nina Buku