Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,148
- 137,141
Poa tu, umeadimika kama kalio la nyoka!! Hujambo?
Ah mie sijambo bebi...sijui weye....
Poa tu, umeadimika kama kalio la nyoka!! Hujambo?
Sasa mi nakuachia ili ufaudu vizuri usiishie kuonja tu
Sasa mi nakuachia ili ufaudu vizuri usiishie kuonja tu
Ah mie sijambo bebi...sijui weye....
Kwa hiyo ndo unaniacha hivyo?
Hapana, ukiniachia tashiba na kukinai, acha tu nionje hivi hivi.
Tatizo muonja asali haonji mara moja
Mie taonja mara moja tu!!
Happy birthday Valle
Thanx mamii,missed you mingi
Yani hunizidi mimi nimekuhamuuu hatari, hope uko poa lkn
Niko poa kiasi mwaya... Hebu nitafutie mchepuu mana Mr wangu nimenyang'anywa
Worry out swiry tena uwahi kabla Ntuzu hajamaliza mana mroho huyo
Ha haa uran si alipoteaga banaa! Nikampata Ngabu sasa atoto kamkwapua...