'Valentina' heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa. atoto ni ex wifey..lakini kila nikitaka kula "nyanya" huwa ananipa!..asante mungu kwa kunipa ex wa hivi..Asante mamii,salimia ule mchepuko wako Eli79
'Valentina' heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa. atoto ni ex wifey..lakini kila nikitaka kula "nyanya" huwa ananipa!..asante mungu kwa kunipa ex wa hivi..
Mweeeeeh!! Lini nilikupa?
Happy born day valee
Lile gemu la jumamosi umelisahau ex wife??
'Valentina' heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa. atoto ni ex wifey..lakini kila nikitaka kula "nyanya" huwa ananipa!..asante mungu kwa kunipa ex wa hivi..
Huyo ndio hataaaa usijisumbue, najua cha kumhonga.
Mweeh... We mwanamke subiri dawa yako
Dawa yangu ndogoooooo! Nikimuhitaji Nyani Ngabu unamuachia tu aja then atarudi, kwani naichomoa mama?
Totoz mambo....?
Safi tu, ndio ukanidangany? Acha nisubirie hadi kukakucha!!
Nilitingwa na shughuli...si unajua tena mishe mishe ya mujini.
Kesho vipi?
Kesho sasa si nitasinzia kazini? Tufanye w.end basi
Happy birthday!!
Chantee,nataka mbegeee
Ngoja niagize makunduu nikutengenezee
Am waiting hata silali leo