Na ukishakitumia uioshe vizuri namie nina matumizi nacho
Nakutumia mlinzi kuanzia kesho ulale utaumwa mgongo.
yani nikulete kwangu sio?
Haya kuja pande hii
Usijali kitarudi kisafiiii
Au nikuachie moja kwamoja nini?
Hapana tafadhali, hii ya kuiba iba ndio tamu
Cha kuiba hakina uhuru bora nikuachie mazima
Nakufungisha ndoa ya mkeka na Nyani Ngabu
Kesho sasa si nitasinzia kazini? Tufanye w.end basi
Hahahaaaaa! Mie nina mume tayari bwana
Totoz mambo....?
Sasa mbona wataka kuniibia?
Mie siibi, naonja tu.