Happy Birthday bestito Valentine mwaaa!

Happy Birthday bestito Valentine mwaaa!

Naogopa nikilala hizi zawadi zangu wataniibia... Haswa huyu Madame B sina imani nae kabisa

Ai weweeeee.....kizuri kula na rafiki yako.

Mie nimekuwish mwanzoni kabisa kwa ID ingine.
Najua huifahamu....ila keki usininyime jamani shoga angu mie.
 
Last edited by a moderator:
Ai weweeeee.....kizuri kula na rafiki yako.

Mie nimekuwish mwanzoni kabisa kwa ID ingine.
Najua huifahamu....ila keki usininyime jamani shoga angu mie.

Ha haa pua yako kumbe ni wewe yule! Nshakujua nimejiuliza weee bila majibu... Sasa adhabu yako keki hupati subiri mwakani
 
Mwadila

Wakati unakwenda na majira yanakwenda, wiki na siku zimeptta na sasa ni masaa amabayo tunakumbuka
siku muhimu ya mpendwa mwenzetu valentine kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake leo.

Bila ajizi namtakia maisha marefu na afya njema kwa miaka mingi ijayo yaani afikishe kimo kikubwa sana
na awe juu kwa kila jambo, lolote atakalofanya baraka zishuke juu yake.

Sitamsahau mama yake kipenzi huko aliko naye apokee baraka kwa kutufyatulia katoto kachanga haaka
kavaleentine ambacho leo kanatimiza malongo kadhaa

Wapendwa wenzangu maraifiki zangu ni vyema tumtakie afya njema mpendwa mwenzetu huyu na tuwe pamoja naye leo kwa kusherekea pamoja nae sijui mama yake ametuandalia keki wapi tuje tukate keki kwa pamoja? ngoja niulize ratiba ikoje kwani yeye mwenyewe valee ni mchanga hajui ataishia kulia ngaaaaawa.

Kwa moyo wangu wa upendo nampa keki hii hapa ale kwa picha ahahahahahahahhaaaaa!


View attachment 277302


View attachment 277303
Happy birthday Mrs Urani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom