...tunapokuja kwenye suala la kama kweli 'roho' ipo, iko wapi, nitawapa/kuwakumbusha mfano wa Organ transplant ambapo wanasayansi waliweza ku transplant kichwa cha nyani mmoja kwenda kwenye kichwa cha nyani mwingine, na kama inavyojulikana jamii ya nyani ina ukaribu sana wa tabia na maumbile na binadamu;
Labda huko zamani hakuna aliyeweza kuamini kuhusu Organ transplant, na kama unaweza tumia kiungo cha mtu baki kwenye mwili wako, jaribu ku imagine mzee ananunua mwili wa kijana kisha wanabadilisha kichwa tu, mzee anaendelea kuishi kama huo mfano wa nyani tulouona.
Swali linakuja, 'roho' ni Ubongo? au hakuna cha roho hapo? au tusubiri mpaka yatapotokea?
Pia kuna plant hybridization na kuunganisha sperm na egg kupata kiumbe ambacho tayari kina uhai. Siri ya roho uhai ni Mungu ndiye anayeijua.