Usibishie kitu kwa sababu ya imani.
kama vile unavyoamini nucleic acids ndio mwanzo wa maisha, je wazijua?
Usibishie kitu kwa sababu ya imani.
Mungu yupo na hana cha kujitetea. Tuamini Mungu na tufanye mambo mema kama alivyotuamrisha Mungu. Namwamini Mungu yupo na sina haja ya kuhoji uwepo wake kwa dalili zote zilizopo duniani kuashiria uwezo wake.
Kam huamini Mungu huwezi ha kuamini sayansi.
kama vile unavyoamini nucleic acids ndio mwanzo wa maisha, je wazijua?
Kwa hiyo wewe unamwamini mungu ili ufanye mambo mema? Huwezi kufanya mema bila boost psychology ya mungu?
Nucleic acids si imani, ni vitu vinavyoweza kufanyiwa experiment kwenye maabara, zinajulikana.Hakuna imani, ni knowledge.
Kwa mungu hamna knowledge, ni imani.
Namwamini Mungu ndio amenileta hapa duniani, ananifanya niwepo na akitaka ataniondoa. Mambo mema ni part and parcel ya kuamini. Ukijiona unafanya mambo mabaya ujue huamini, na kama huamini utatenda baadhi tu ya mambo mema, mema mengine hutayatenda na mwisho ni kupata adhabu kali pale utakapokuatana na Mungu ana kwa ana, akaueleza ukweli na wewe ukamuona na kuamini kuwa hupo, it would be too late for anaything, wala sayansi yako haitakusaidia.
Kwa hiyo wewe unamwamini mungu ili ufanye mambo mema? Huwezi kufanya mema bila boost psychology ya mungu?
Sayansi haina kuamini, kwenye sayansi unajua au hujui.Ukileta imani kwenye sayansi utachekesha.
Na hao mafisadi wanaojaa makanisani kila siku? Kina Mkapa altar boy, wanaamini au hawaamini?
Why then these words "we believe" are ubiquitous in science books/journals?! Please don't tell me you haven't encountered them!
Why then these words "we believe" are ubiquitous in science books/journals?! Please don't tell me you haven't encountered them!
Kama unaamini mungu wa Judeo-Christian doctrine pia utaamini mungu anajua yote, yaliyopita na yajayo.
Kama unaamini mungu wa Judeo-Christian doctrine utaamini pia kuwa mungu ana perfect knowledge, maana yake anachojua yeye si projection au weather forecast, maana yake akijua kitakuwa kitakuwa.
Sasa kama anajua kitakachokuwa kabla sisi hatujafanya, na kama akishajua kitakuwa sisi hatuwezi kubadilisha.Tukifanya mabaya maana yake ni kuwa yeye alijua tangu mwanzo kwamba tutafanya mabaya, na kwa sababu alijua sisi hatukuwa na njia ya kubadilisha (kubadilisha kutakuwa sawa na kum prove yeye wrong)
Either mungu anajua yote na sisi hatuna uchaguzi.
Au
Sisi tuna uchaguzi, lakini mungu hajui yote.
Which is the case now?
Karibu sana mtumishi wa Bwana. Mama anajitahidi sana hapa, na hakika Mungu anahitaji utetezi zaidi.
Neno "we believe" linavyotumika katika Sayansi maana yake ni hii: tunacho kijua mpaka sekunde hii ni hiki na kile na hiki. Kesho ukija na ujuzi mwingine uka disprove huu wa leo basi tutatupilia mbali tunacho dhani tunakijua leo.
Hiyo ndio essence ya Sayansi. Hatusemi tuna infinite knowledge au immutable knowlegde isiyo badilika kama imani kwa Mwenyezi Mungu.
Why then these words "we believe" are ubiquitous in science books/journals?! Please don't tell me you haven't encountered them!
kama vile unavyoamini nucleic acids ndio mwanzo wa maisha, je wazijua?
Nazijua. Nimewahi kuziona kwenye test tube chini ya darubini.
unaweza kujua ya kesho kwa kufanya modelling na kuproject mambo kibao, ingawa si yote. Hapo ndipo unapokuja upungufu wa sayansi.
Mwanasayansi yeyote akikwambia "I believe" maana yake hana uhakika.Sayansi haina majibu ya kila kitu kwa hiyo kwenye mambo mengine ambayo watu wanafanya utafiti watu hawajapata majibu na wanafanya uchunguzi watu wako frank wanasema hiki hakijapitishwa kisayansi lakini I believe itakuwa hivi na hivi (Cheki bet ya Stephens Hawkins na Kip Thorne ya back in the eighties)
Lakini huwezi kumkuta mwanasayansi anakwambia "I believe in the second law of Thermodynamics" au "I believe in The newtonian Laws of Motion"
These are some of the fundamentals of science, scientists do not "believe" in the fundamentals of science, that is the reign of philosophy and divinity.
On the other hand religion does not know its fundamentals, it ask people to take them at face value by "faith"
This is my beef,I want to know for sure.I do not want to believe.Even a scientific speculation such as string theory is not appealing to me because it is not testable and in that aspect more philosophic than scientific.
Upungufu gani?
Knowledge ya mungu inatakiwa kuwa perfect, si projection wala forescasting.Kama leo ninaua mtu basi mungu alishajua kuwa nitaua tangu sijazaliwa.
Sasa kama alijua, na kama alichokijua yeye hakiepukiki (kwa sababu anachojua ni perfect na kukiepuka ni kama vile kum prove wrong kwamba alijua hivi na wewe ukafanya vingine) je mimi nina makosa?
Je binadamu ana uchaguzi?
Binadamu akiwa na uchaguzi wa mema na mabaya maanayake mungu hajui nini tutafanya, mungu akijua nini tutafanya binadamu hana uchaguzi.
Which is the case?