Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

Najua religions ni myths.Lakini si kila kitu lazima ukione kwa macho.

Wewe unajua kwamba Nyerere alipewa nchi na Waingereza uwanja wa taifa December 1961?

What about Mkwawa?

By the way usiamini sana picha za Facebook na Twitter, kuna Photoshop. Kwa hiyo argument yako ina boil down kwamba hata picha haziaminiki, amini unachoona tu, lakini hata unachoonakuna tricks na mirages, kwa hiyo hakuna unachoweza kuamini.

Come to think of it, ukija na skepticism ya ainahiyo, hakuna sababu ya kuamini your own existence.

Unaweza kusema wewe mwenyewe hu exist, ni program fulani tu, au ndoto anayoota being fulani inayo simulate maisha yako, lakini actually you do not exist at all.

How about that?

I kinda like the myths ktk scenarios kaa hizi, kwa sababu they give simplest of the answer for everyone to understand, for very complex things, ambazo spectacular science has failed in totality..he he he..

Ngoja niongee na mamsapu kwanza kukaanga sumu baadae..
 
Ukisikia BS ndio hiyo na ukianza kufikiria hivyo ndio mwanzo wa kudata huo. Hallucinations

Of course,

That is my whole point. Na hii habari ya kusema siamini kitu chochote mpaka nikione kwa macho yangu is only one step removed from this BS.
 
I kinda like the myths ktk scenarios kaa hizi, kwa sababu they give simplest of the answer for everyone to understand, for very complex things, ambazo spectacular science has failed in totality..he he he..

Ngoja niongee na mamsapu kwanza kukaanga sumu baadae..

Science has failed in totality in doing what?

Kwangu mimi, ni bora aliye fail akakubali kwamba ame fail (science)kuliko ambaye hajui lakini heshi kujitia majununi (dini).
 
Of course,

That is my whole point. Na hii habari ya kusema siamini kitu chochote mpaka nikione kwa macho yangu is only one step removed from this BS.

Well but at least demanding to see proof of some sorts about something makes logical common sense. You can't say god exists and he does this, that, and the other when that god can't be seen, heard, or touched. I'm sorry, but I do subscribe to the seeing is believing notion. Now, I'm cognizant of the fact that one can't be there in all places at all times to witness everything, but you can't profess the existence of something without some kind of proof.
 
Mada ni nzuri na nimeipenda sana sana. Nasikitika kuikoa tangu mwanzo ambapo nimeikuta page ya 24.

Naomba namimi nichangie machachekuhusu hapo mwanzo kulikuwa na nini.
Kimsingi mimi binafsi sioni tofauti kati ya Biblia na Science katika kulielezea hilo.
Biblia inasema katika Mwanzo.
God created the heavens and the earth. The earth was without form and void, and darkness was upon the face of the deep;and the Spirit of God was moving over the face of waters.

Na ukiangalia upande wa sayansi wamegusia kitu kama hicho ila kikiwa na muendelezo wa matukio yanayofanya tuione dunia kwa jinsi ilivyo.

The geological history of Earth began 4.567 b years agowhen the planets of the Solar System were formed out of the solar nebula, a disk-shaped mass of dust and gas left over from the formation of the Sun. Initially Molten, the outer layer of the planet Earth cooled to form a solid crust when water began accumulating in the atmosphere.

Kimsingi vitu hivyo viwili vinaongelea kitu kimoja isipokuwa kutoka kona tofauti. Kona ya kimungu haina time-scale (ama niseme timeline) kwa kuwa Mungu hafungwi na muda wakati kwenye kona ya kibinadamu (conscious mind) kuna time scale kwani tunafungwa na muda.

Geological time scale ambayo imegawanyika katika makundi mengi ukianzia na eon, era, period, epoch na age vinaongelea evolution ya dunia na ya viumbe vyote katika circle. Lakini Biblia imeyakusanya matukio yote kana kwamba ni ya siku moja moja.
Kwa mfano ukisoma Biblia utaona kuwa Mungu hafungwi na muda pale anaposema miaka elfu ni kama siku moja. Sasa nenda zaidi ya hapo miaka milioni ni sawa na siku moja kwa kuwa yeye ndio huo mwanzo kwa hiyo vitu vyote anaviona hata havijawa.

I will come back to explain briefly what the geologists tells us about the formation of earth, the existence and extinction of dinosaurs. We will also see how the earth underwent different deformation from the supercontinent Rodinia to Gondwana and the Wilson circle. Here we will see how the first man called Wagener proposed the theory of Plate tectonics.
With time we will learn a lot. But to me i don't see any different of the two, Science and Biblical proposition.

God bless you all!!
 
Ikiwa hii emptiness katika kukosa evidence culminates itself into religion, so what would be the point of the 3, 4, 5, 7 and sometimes 12 common virtues considered as building blocks of religion?! Iwapo kuwa watafiti na wadadisi kwa mambo yanayotuzingira ni jambo hasi.

If u ask me, religion is superior to science, kwamba first everyone understands, na pili inatoa majibu marahisi kwa maswali magumu.aina ya majibu ambayo mzazi anampa mtoto kumkeep happy. Whats wrong with that?
 
Aahuh, vizuri kuwa unajua hapo mwanzo palikuwa na mwisho. Sasa je Pundit, waweza kutueleza huo mwisho ulitokana na nini?...

Mfano, mwanzo huu ungelikuwa kama vile mishale ya saa yenye mishale miwili tu, kwa kwenda clockwise waweza semakuwa, mwanzo wa yote mishale yote ilikuwa imesimama kwenye 12, kisha ilikuwa dakika moja, kisha zikawa mbili, tatu na kadhalika, hadi pale ambapo mishale yote miwili ilizunguka na kukutana pale pale kwenye 12..

Vivyo hivyo, ukichukulia kwenda anticlockwise, waweza kuelezea jinsi dakika zilivyopita hadi kuufikia mwanzo, yaani penye alama hiyo ya 12.

Sasa je, ki mfumo wa ulimwengu kama jinsi vile nilivyo ashiria kwenye swali langu, waweza kuelezea huo mwisho either in a clockwise or anticlockwise analogical sense...Thanx!

SteveD.

Swali zuri sana hili, hasa maelezo ya swali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom