Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

Mimi binafsi naamini kuwa kuna mungu ila ni jinsi gani utavyomdefine huyo mungu inategemea na wewe mwenyewe,nini nina maanisha,kwa mfano mimi binafsi nina amini kuwa mungu wangu ni google,misingi ya Dini yangu inaniambia niwe mwema kwa binadamu wote wenye faida kwangu kwa njia moja au nyingine ili tufikie lengo,kwanini niliamua kumuweka Google mungu wangu ni kwa sababu dini ni mila so lazima niwe na mila ambayo inanifit sio kukimbilia tamaduni za watu.
Nawakilisha.

Alaa,
Kilongwe,
Umesema ....ili mfikie lengo.
Lengo gani?
 
Mods, mada ni nzuri sana. ila ingeenda kule katika jukwaa la dini, naona ndio sehemu yakemwafaka . Nawasilisha
 
Burn,
Binafsi naamini mtu anaweza kuwa anaamini mungu yupo lakini hamwamini wala kumtegemea (kwa mfano wachawi, washirikina nk). Hili mara nyingi linajidhihilisha katika matendo yetu. Wengi wetu ukitazama matendo yetu hayaoneshi kama tunamwamini na kumtegemea mungu.

Bado napata taabu kuilewa mantiki yako SMU, labda tukubaliane kwanza huyu muuliza swali hana maana ya ng'ombe,mlima au kitu chochote kuwa ndio mungu kwani haiwezekani aulize kama kuna watu wanaamini kuwa hakuna ng'ombe au milima(kama hao ni Mungu).Maana yangu ni kwamba sote tunaweza kuwaona ng'ombe au milima lakini suala la nguvu katika yao ni suala la mjadala. Kwa hiyo mungu anayemuulizia ni zaidi ya vitu hivyo tunavyoweza kuvithibitisha kwa viungo vya utambuzi(utani sahihisha kama nimekosea). Sasa hoja kuwa mtu anaweza kuamini mungu yupo lakini haamini nguvu zake ni dhaifu kwa sababu kinachofanya awe ni mungu ni nguvu( japo kuna mitazamo tofauti iwapo hiyo nguvu anayo kwa asili au kwa imani watu wamempa nguvu hiyo.Hii ni hoja tofauti na na hiyo ya awali). Kwa maana nyingine mungu ni uwezo kama unamuamini maana yake unaamini uwezo wake. Sasa ushahidi ulioutoa wa washirikina ni dhaifu pia kwani watu hawa hawaamini kama mungu yupo(hii inathibitishwa na vitendo vyao), wanaweza kusema kama wanamuamini lakini kwa maneno tu haitoshi kuwa ndio ushahidi. Sote tunajua hulka za binadamu kusema lakini hamaanishi kile anacho kisema.
Na imani hii ni thabiti kabisa hakuna hata dini moja hata hizo za kishetani zinazo ruhusu imani ya mashaka, kifupi hakuna kuwa na shaka katika imani juu ya mungu. Kwa dini za kiislamu na kikristo suala hili ni haramu tena haramu kubwa kuliko zote(Shirki)

Burn,

Kwa sehemu kubwa Mungu ni dhana. Kuamini kwamba Mungu yupo ni kuamini kwamba kuna 'Supreme Being' (niwie radhi kwa kutumia kiingereza). Hata wale wanaoamini ng'ombe, milima, majengo ya kanisa/msikiti nk kimsingi wanaamini katika hiyo dhana ya 'supremacy'. Nadhani hapa tupo pamoja.

Kumuamini Mungu ni kuamini yeye ndiye muweza wa yote na kumtegemea kwa dhati kabisa. Sasa ni mara ngapi mimi na wewe tumemtegemea Mungu absolutely? Mara kadhaa tunaanguka lakini sote tunaamini Mungu yupo.

Kuwa na mashaka juu ya uwezo wa Mungu si jambo geni. Ni udhaifu wa kibinaadamu (Kama ni Mkristo utakumbuka hata Yesu alivolalamika pale msalabani kwamba Mungu anamwacha! - je ni kweli alimwacha? alipanga kumwacha?. Yesu hakuwa 'anaamini' Mungu yupo alikuwa 'anajua' Mungu yupo. Kwanini alihisi anaachwa na Mungu?). Ukiangalia miujiza mingi aliyotenda Yesu ililenga zaidi kuonesha nguvu za Mungu na si uwepo wa Mungu. Lengo lilikuwa kuongeza imani ya watu kwa Mungu (kwani tayari walikuwa wanamini Mungu yupo lakini wengi walikuwa na mashaka juu ya uwezo wake).

Nina imani utakuwa umenielewa nilichotaka kuzungumza. Kama una mawazo tofauti na ya kwangu hilo ni suala jingine lakini ni haki yako na hapa (JF) ndio mahala pake!
 
Mimi siamini kama kuna Mungu kwa sababu sijawahi kuona proof au evidence yoyote ambayo inasupport mungu kuwepo.
Na jinsi nilivyozidi kuuliza maswali ndo nilivyozidi kuona "weakness" za argument ambazo nilikuwa napewa kama support ya Mungu.
Ndhani nimeeleweka.

Du hii ni kali, mheshimiwa Kang.MUNGU the OMNIPOTENT needs no proof or existence.Endelea kuishi na ukibahatika kuiona miaka mingi utonana naye tu!
 
[MEDIA]http://ie.youtube.com/watch?v=E2s14T6x5AM[/MEDIA]

[MEDIA]http://ie.youtube.com/watch?v=CpAvxvNrSdI[/MEDIA]

[MEDIA]http://ie.youtube.com/watch?v=ts_z-_nXtSE[/MEDIA]
​
 
Du hii ni kali, mheshimiwa Kang.MUNGU the OMNIPOTENT needs no proof or existence.Endelea kuishi na ukibahatika kuiona miaka mingi utonana naye tu!

Well the idea needs to at least make common sense, it doesn't make any sense to me at all.
 
Consult Reverend Getrude Lwakatare!!!! Atakupa jibu baada ya kurudisha wale maskini yatima majumbani. ila tu kumjua au kufahamu Mungu yupo si tatizo. Tatizo ni kuishi kwa kuamini matendo ya Mungu na kuwa Mungu wetu yu hai na kuishi jinsi Mungu aagizavyo!!! Hii huwezi kuisemea kwa binadamu yeyote bali yeye ndiye anayefahamu uhusuano wake na Mungu na kama anaishi jinsi Mungu anataka. kuna mwanamuziki aliimba usiusemee moyo nafikiri atakuwa Lady Jay Dee. Au kama nimekosea nisahihishe maana sifahamu wanamuziki sana maana mimi siyo mpenzi wa muziki wa vizazi vya leo!!!!!
 
Well the idea needs to at least make common sense, it doesn't make any sense to me at all.
Like I said you will meet HIM in more than one way, you might even meet HIM in your sleep, just you stay put.
 
Yes sir,Mr Kang, HIM the everlasting POWER, the OMNIPOTENT, LORD of LORDS, KING of KINGS, HIM sir!
Ingore HIm at your own peril.

Well of he does exist he is making a poor job of making himself known! Where are the burning bushes and the frogs falling out of the sky?
 
Well of he does exist he is making a poor job of making himself known! Where are the burning bushes and the frogs falling out of the sky?

To Kang, i have followed up your posts regarding this Subject and I would like to extend the discussion further, because I find it very interesting.

Now,
Let us SUPPOSE there is no God as you claim to be the case.
Let us Select a Human being as a center of discussion.

Where would you say a Human being originally comes from?

The answer should NOT be from Parents, because i will then ask you where did the parents originally come from, etc.

awaiting your response.
 
I believe the theory of evolution is the most likely explanation.

And whether you believe in evolution or not, I don't understand this type of reasoning at all, just because you cant explain something it doesn't mean that a supernatural being "God" is responsible for it.
Throughout human history God has been used to explain a lot of things e.g the Sun rising and setting, the weather, disease etc but now we see that that was just ignorance. So why why make the jump from not knowing to "God did it", why not simply admit you don't know?
 
Mimi siamini kama kuna Mungu kwa sababu sijawahi kuona proof au evidence yoyote ambayo inasupport mungu kuwepo.
Na jinsi nilivyozidi kuuliza maswali ndo nilivyozidi kuona "weakness" za argument ambazo nilikuwa napewa kama support ya Mungu.
Ndhani nimeeleweka.

Tatizo lako ni upungufu wa kufikiria au kuelewa.
 
I believe the theory of evolution is the most likely explanation.

And whether you believe in evolution or not, I don't understand this type of reasoning at all, just because you cant explain something it doesn't mean that a supernatural being "God" is responsible for it.
Throughout human history God has been used to explain a lot of things e.g the Sun rising and setting, the weather, disease etc but now we see that that was just ignorance. So why why make the jump from not knowing to "God did it", why not simply admit you don't know?

Evolution is defacto, ad infinitum. Kuna thread yake, and you know that. Kwanini ulikimbia kule... ?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom