Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 359
Kuamini kwamba mungu yupo ni suala jingine na kumwamini mungu ni suala jingine. Mtu anaweza kuamini kuna mungu lakini asimwamini huyo mungu (nadhani unakumbuka yule bwana aliyetumbukia majini kwa kushindwa kuamini kwamba anaweza kutembea juu ya maji!).
Nadhani wasiomwamini mungu ni wengi tu. Au ulikuwa unamaana ya watu wasioamini kwamba mungu yupo?
Ha ha ha ha a........nimependa jinsi ulivyo chambua lugha kwa ufasaha...mpaka wengine wakakuita BAKITA...
Jamani JF ni kisiama cha maarifa,burudani etc...someni katikati ya mistari....kwa mfano..katika ukristu...kuna watu wanaamini yesu na kuna wanao amini mungu...na katika maandiko kuna mungu na yesu...ambaye ni mwana wa mungu.
Kwa mfano mie naamini walokole ni kundi waliopatwa na matatizo...au walio fanya mabaya sana katika ulimwengu huu sasa wanaenad tubu..na ku shuhudia katika yesu kuwa walipotea......na kuna wengine wanao amini kuwa walokele ndio walio mpoke yesu...samahani iime base kwenye ukristu...