Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

.....i was born & grew up christian,i still consider myself christian lakini sikumbuki last time nimekanyaga church,lakini as the days goes on maswali kuhusu imani niliyozaliwa nayo ni mengi kuliko majibu,hii imenifanya nisome sana(atleast some fundamentals) kuhusu dini nyingine nyingi zaidi ya ukristo,i went through many books,documentary,websites na garbage nyingi tuu nyingine hata sikumbuki ili kujua dini na imani za watu mbali mbali.....itaendelea
 
my point is, the wikipedia source you listed above, CONTAINS NO KNOWLEDGE OF the origin of Human being neither of where life came from.See bellow.

"
Origin of life
For more details on this topic, see Abiogenesis and RNA world hypothesis.

The origin of life is a necessary precursor for biological evolution, but understanding that evolution occurred once organisms appeared and investigating how this happens does not depend on understanding exactly how life began.[157] The current scientific consensus is that the complex biochemistry that makes up life came from simpler chemical reactions, but it is unclear how this occurred.[158] Not much is certain about the earliest developments in life, the structure of the first living things, or the identity and nature of any last universal common ancestor or ancestral gene pool.[159][160] Consequently, there is no scientific consensus on how life began, but proposals include self-replicating molecules such as RNA,[161] and the assembly of simple cells.

"

it seems you don't know the answer too. See bellow.

"Now please don't ask me what came before that!"

SO FAR, you can not explain where Human being origates from or
specifically where life came from, even after considering the theory of evolution.

To take you further, let us consider things that have not been claimed to evolve. e.g space, water,air, the fact that earth is floating in space, etc.

These things or facts must have been put/created/started/originated by a certain Source/Someone. Do you agree with this?

Naona kuna merge ya kizushi imetokea, I got lost for a while.

Anyway, I dont know if you read my previous post. Why make the jump from simply "I don't know" to "God did it"?
That doesn't provide any answers it just removes the Question, just imagine if people had taken that attitude towards the source of weather, diseases, or position in the solar system etc, we would still be living in complete ignorance!

What I am saying is not knowing something does not mean some supernatural being is responsible for it! Do you agree with that? That is simply jumping to a conclusion which has no evidence whatsoever.

Introducing God doesn't solve the problem of "everything must have a creator" because if you take that stance then God must also have a creator, and his creator must have a creator etc. Of course religious people will claim that God has always existed, then why cant the Universe have always existed? Its false logic.
 
SMU,
Unamwamini Mungu ambaye una mashaka naye?
Hapa unanichanganya kidogo.

Exaud,

Naona bado unapata shida kutofautisha kati ya 'kumwamini Mungu' na 'kuamini uwepo wa Mungu'.Ndio maana tangu mwanzo nilikuomba ufafanue swali lako. Soma vizuri mabandiko yangu utapata jibu.
 
Niliwahi kusema hapa inabidi ukiamua kuwa na dini yako endelea nayo usitake kujua ukweli kwani unaweza kuona dini zote hakuna chochote cha maana kwenye hizo dini zaidi ya kulinda interest za walionzisha hizo dini na dunia haitakuwa huru mpaka siku wakazi wake wakijua kuwa mungu ni upendo tu na hakuna maisha mengine zaidi ya hapa ulimwenguni.

Sayansi imeanza kuondoa pengo lililokuwepo kwenye elimu kuhusu kilichotokea baada ya big bang, na baadhi ya matukio yanayotambulisha dini mbalimbali ulimwenguni.

Theory ya darwin inaanza kuaminika kuwa ni kwelim kwani mabadiliko yanachukua muda kutokea ndio maana hatuwezi kunotice lakini inafanya kazi kila siku.

Kuna dini za kwanza kabisa ulimwenguni kama mayans angalia hapa Mayan religion - Popol Vuh ambazo walijaribu kueleza kilekile amchacho ukiristo na uislam ulikuja na lakini katika version nyingine.

Kama ni yesu kuzaliwa bila kuwa na baba tayari mayans walikuwa na mtume wao aliyetokea baharini na kupotelea bahari bila kuzaliwa na na mama wala baba na walikuwa wanaamini kuwa kuna siku atakuja kurudi tena katika ulimwengu kuwahukumu kwa madhambi yao waliyoyafanya. hapa ni kabla ya yesu miaka 16,000 ujue kuwa ni tofauti ya miaka 18,000 kabla ya yesu maana huko nyuma tunaesabu kurudi nyuma na sio mbele.

Kuwa na mungu mwana na mungu baba ni kitu cha kawaida kwani ancient egyptians wanamungu wawili wenye nguvu tofauti mmoja akiwa ni baba na mwingine ni mwana aliyetumwa na baba yake kuja kuwasaidi mafarao kutawala misri.

Kama ni kupaa mbinguni hata mafarao waliamini wapaa mbinguni wakifa hata sisi tunaamini hivyo.

Sayansi imegundua kilichofuatia baada ya big bang, chembe za uhai zilikuwa transported kuja duniani kutoka kwenye galaxy ambako hadi leo bado zipo na zimeonyesha uwezo wa kuendelea kubadilika baada ya kuleta sample kwa satelite ambayo ilikwenda na kupasua asteroid.

Baada ya dunia kupo kutoka kwenye big bang asteroid zilianza kubomb dunia mfulululizo zikija na chembe zenye uhai, ambazo baada ya kuingia baaharini ambako wakati huo ndio kulikuwa na mazingira mazuri ya hizo chembe kufanya kazi kiumbe wa kwanza alikuwa ni samaki, ambaye mpaka leo ndiye kiumbe mkuu kuliko wote ulimwenguni, then baadhi ya samaki walijikuta wanaishi kwenye matope kulingana na mabadiliko ya dunia.

kubadilika kwa mazingira kulilazimisha samaki kuanza kuota mikono na miguu hii ndio ilikuwa missing connection amabayo imeonekana mwaka juzi huko bahari ya hindi na australia ambako wamegulika samaki wa zamani wakiwa na mikono na miguu the dini zinabaki kusema kuwa viumbe vyote viliumbwa kwa siku saba wakati kutoka kiumbe mmoja hadi mwingine it take billions of years

udhibitisho wa haya unakuja mwa 2012 wakati dunia itabadilisha kizio cha kasikazini kuwa kusini ndio tutajua kuwa mayans, egyptian na wanasayansi wa sasa wako sahihi maana walishaliona zamani, angalia mayans callender utaona wasema 2012 ni siku ya mtume wao kurudi and they have acurately forecasted some events on their callender vitu kama september 11, utawala wa hitler, utawala wa marekani kwa dunia exactly on the same date.
 
Biblia inasema.
HAPO MWANZO KULIKUWA NA NENO.

Mungu weni anafundisha watu wawe wabinafsi kwa kuwabagua watu wake na kuwapendelea baadhi, especially kwenye case ya watu wanaomwomba kwanini wote ni watu wa mungu halafu mmoja anyanyasike na huyo anayenyanyasika ni yule anayemjua mungu zaidi lakini huyu anayekula sadaka kanisani na misikitini hawapati tabu.

Anaruhusu kuwaibia watu masikini kwa kuwachangisha na kuwapa wenye nacho mtu anatoa sadaka pesa ya ambayo alistahili kula lakini anajinyima na nyinyi viongozi wa dini mnanenepesha matumbo yenu.

ulimwengu hautakuwa fair till muache kuwaibia watu wenu kisaikolojia.
 
Uislamu unatoa fursa ya haki nyingi za kibinaadamu kwa ajili ya mtu binafsi. Zifuatazo ni baadhi ya haki hizo za kibinaadamu ambazo Uislamu huzilinda.

Maisha na mali za wananchi wote katika taifa la Kiislamu huchukuliwa kuwa ni vitukufu, iwe mtu huyo ni Muislamu ama la, Uislamu unalinda heshima pia. Hivyo, katika Uislamu, jambo la kuwatukana wengine na kuwakejeli haliruhusiwi. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: (Hakika damu zenu, mali zenu na hadhi zenu ni tukufu).

Maelezo zaidi Tafadhali Gonga Hapa: Haki za Kibinaadamu na Uadilifu katika Uislamu
 
Maadamu biblia na kuran zinasema Mungu wa kweli ni Mungu wa waisrael. Amin hivyo na MUNGU mwenyewe kadhibitisha hilo alipowavusha bahari ya Shamu. Na mpaka sasa tunayaona matendo makuu ya Yesu. Kuhusu kugundulika chembe za uhai kwenye galax nyingine ni uongo hakuna kitu kama hicho galax ambayo ipo karibu ni kama umbali wa 59 light year. Hakuna Awaye yoyote ila Yesu pekee, maana kama shetani yupo na majini yake na ktk hii dunia hakuna Mungu mwingine ambaye anaweza ku overcome hao mashetani isipokuwa kwa Jina la YESU so mpaka hapo ni watu wanatiwa giza wasione nuru. Ukitaka kuamini tafuta au tumia jina la mungu yeyote uone kama shetani atashtuka hao wamungu wengine ni inactive god hawawezi chochote. Huyo mtume aliye tokea baharini ni wa mungu mfu ndo maana hana impact yeyeyote au alishakufa hakupotea na kama hauamini kuwa kuna spirit mbili nenda kwa wanaopiga ngoma za majini utagundua,nenda kwa walokole utamuona Mungu wa kweli, then utachambua mbichi na mbivu.
 
ThinkPad, je huyo Mungu wa Waisrael ndiye huyo huyo wa Wachina na Ma-Red Indians?!
 
Jamani, give me a break!!!. Kuna kipindi nilianza kusikia kizunguzungu, kama nachanganyikiwa hivi. Sikuwahi kuiona mada hii. Nimeiona leo. Nimeisoma na kuishia page ya 10.

Nitaendelea kwa wakati wangu. Hasa wakati wa likizo. Hakuna bandiko hata moja ninalotaka kuliruka hapa!

By the way sikuwahi kujua kwamba hapa JF kuna space scientists!
 
Some scholastic stuff, huku Pundit, huku Kuhani, huku SteveD, huku mama.

Patamu hapo.
 
Are you saying this is more of skullduggerry than scholasticism?

What is not a virtue? The engaging debate that makes a forum a forum?

I don't know really how to explain this.

Topic inazungumzia swali kuwa what was there in 'mwanzo'. No scholar can establish this unless he/she was there akishuhudia with his/her raw eyes na kutuletea report na picha if possible tukazibandika kwenye Facebook & Twitter. This is the bottom line ktk gazeti, there is no biga virtue than this. I mean.. Kaa huna eye withness the rest is similar or equal to myths confined to certain groups a.k.a the religious..
 
Najua religions ni myths.Lakini si kila kitu lazima ukione kwa macho.

Wewe unajua kwamba Nyerere alipewa nchi na Waingereza uwanja wa taifa December 1961?

What about Mkwawa?

By the way usiamini sana picha za Facebook na Twitter, kuna Photoshop. Kwa hiyo argument yako ina boil down kwamba hata picha haziaminiki, amini unachoona tu, lakini hata unachoonakuna tricks na mirages, kwa hiyo hakuna unachoweza kuamini.

Come to think of it, ukija na skepticism ya ainahiyo, hakuna sababu ya kuamini your own existence.

Unaweza kusema wewe mwenyewe hu exist, ni program fulani tu, au ndoto anayoota being fulani inayo simulate maisha yako, lakini actually you do not exist at all.

How about that?
 
I don't know really how to explain this.

Topic inazungumzia swali kuwa what was there in 'mwanzo'. No scholar can establish this unless he/she was there akishuhudia with his/her raw eyes na kutuletea report na picha if possible tukazibandika kwenye Facebook & Twitter. This is the bottom line ktk gazeti, there is no biga virtue than this. I mean.. Kaa huna eye withness the rest is similar or equal to myths confined to certain groups a.k.a the religious..

Ikiwa hii emptiness katika kukosa evidence culminates itself into religion, so what would be the point of the 3, 4, 5, 7 and sometimes 12 common virtues considered as building blocks of religion?! Iwapo kuwa watafiti na wadadisi kwa mambo yanayotuzingira ni jambo hasi.
 
Unaweza kusema wewe mwenyewe hu exist, ni program fulani tu, au ndoto anayoota being fulani inayo simulate maisha yako, lakini actually you do not exist at all. How about that?

Ukisikia BS ndio hiyo na ukianza kufikiria hivyo ndio mwanzo wa kudata huo. Hallucinations
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom