hii ndo point ulosema sasaKama ambavyo huna uhakika juu ya shibe ama njaa kwangu, ndivyo usivyo na uhakika juu ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu.
Tangu nikiwa mdogo watu walinitabiria kifo.Kuna watabiri wengi walikufa wakisubiri kifo changu kitokee.
Nyie ambao mna guarantee ya immortality endeleeni kututabiria kifo lakini mkae mkijua kifo ni haki ya kila kilicho hai.
wewe kama genious vileeeeMleta hoja umeleta vizuri maana umeweka na ushahidi wa shaka yako juu ya uwepo wa Mungu. Wajibuji hatupaswi kukutisha bali tukujibu kwa ushahidi ulio wazi. Niseme tu kwa ufupi, In vigumu kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini nivigumu zaidi kuthibitisha kutokuwepo kwake, tunachoweza kuonesha uwepo wa Mungu ni kutaja maumbile, kanuni na mienendo iliyopo ambayo sio kazi ya mikono ya Mtu.
Umepost vizuri sana Mukuu.Mleta hoja umeleta vizuri maana umeweka na ushahidi wa shaka yako juu ya uwepo wa Mungu. Wajibuji hatupaswi kukutisha bali tukujibu kwa ushahidi ulio wazi. Niseme tu kwa ufupi, In vigumu kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini nivigumu zaidi kuthibitisha kutokuwepo kwake, tunachoweza kuonesha uwepo wa Mungu ni kutaja maumbile, kanuni na mienendo iliyopo ambayo sio kazi ya mikono ya Mtu.
Naona Magu katawala fikra zako,.......si kila mtu yupo vulnerable na drama za Magu.Mtoa mada kuna vitu vyakutolea stress za Anko magu JF ila cyo MUNGU,
Nikupe siri MUNGU(supernatural being) hadhihakiwi at a siku moja, hii thread inafanyiwa kaz unless utubu
Wanaolazwa vitandani ni wale wasio mwamini Mungu tu?..........kumbe wengi wenu mnamwamini Mungu kwa kulazimishwa na vitisho?Utakapolala kitandani, haja ndogo na kubwa zote unamalizia hapo,mwili umepooza na huwezi kutumia vidole vyako kuandika upuuzi kama huu ulioandika leo,ndipo utakapojua kama Mungu yupo au la.
Utakapolala kitandani, haja ndogo na kubwa zote unamalizia hapo,mwili umepooza na huwezi kutumia vidole vyako kuandika upuuzi kama huu ulioandika leo,ndipo utakapojua kama Mungu yupo au la.
Kwahiyo wewe una amini kwenye imagination?