Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

Hapo mwanzo MTU alimuumba mungu duuh!!! Hivi ulishawah jiuliza mwanzo wa MTU? alaf ebu ona ulivyo na shaka hii ni kuonyesha akil yako inafaam juu ya mungu Hiv umejua n wakala nn ?
 
Shaka langu lipo wapi?.....kwani mwanzo wa mtu ni kitu gani?
 
Wasioamini uwepo wa Mungu,hawajiamini kauli yao ya kutokuwepo kwa Mungu,kwa maana ili hoja yao ya kutokuwapo Mungu,haina nguvu mpaka wamtaje Mungu.
Kwahiyo ili hoja ya asiyeamini uwepo wa Mungu ni lazima ahoji uwepo wa vitu vingine tofauti na Mungu?........je akikwepa kutaja neno Mungu ndo hoja yake ya kutokuwepo kwa Mungu itakuwa kweli?
 
Uwezo wa akili ya mwanadamu kumfahamu Mungu ni 0.00000001 kuliko yeye anavyotufahamu. Kuna matukio mengi sana na miujiza ambayo imetokea duniani katika akili ya mwanadamu tunakosa majibu tunabaki kuamini huyo ni Mungu. Masomo yangu ya shahada yalitoa evidence nyingi za kupinga uwepo wake zinazoaminika lakini pia ziliacha maswali mengi yasiyojibika. Watu wanasema vitabu vya dini viliandikwa na wanadamu kuupotosha ulimwengu lakini mimi nawajibu kuwa hata vitabu vya wanasayansi viliandikwa na wanadamu wale wale ambao inawezekana nao wanapotosha ulimwengu. Tunasikia watu wameenda mwezini na sisi tunaamini kweli wameenda bila kuwashuhudia lakini pia hatujiulizi je aliyeuweka huo mwezi pale ni nani?... utasikia ni natural forces. Aliyeiumba dunia na vitu vyake utasikia ni natural forces.. wanaozifahamu hizo natural forces ni kakikundi ka wanadamu wachache wengine tunalishwa tu. Humwamini Mtume Paulo lakini unamwamini Isaac Newton humwamini Mtume Muhammad lakini unamuamini Charles Darwin. Science is business. Mleta mada kabla hujafa utauona uwepo wa Mungu na kutubu kama alivyouona baba wa taifa wa China Mao "Tse-Tung" ZeDong mpinga dini mkubwa kabla hajafa.
 
akuna kutubu kwa sababu kutubu pia kumezushwa tu na hao, hao waliozusha vitu ambavyo havipo, labda nisisitize tu HAKUNA MUNGU, SHETANI, IBILISI, WALA MOTO UWE WA GESI, KIBIRITI, KUNI PETROLI WALA WA KUCHEMSHIA CHAI.
Mmmmmh Mungu anakuona
 
Uwezo wa akili ya mwanadamu kumfahamu Mungu ni 0.00000001 kuliko yeye anavyotufahamu. Kuna matukio mengi sana na miujiza ambayo imetokea duniani katika akili ya mwanadamu tunakosa majibu tunabaki kuamini huyo ni Mungu. Masomo yangu ya shahada yalitoa evidence nyingi za kupinga uwepo wake zinazoaminika lakini pia ziliacha maswali mengi yasiyojibika. Watu wanasema vitabu vya dini viliandikwa na wanadamu kuupotosha ulimwengu lakini mimi nawajibu kuwa hata vitabu vya wanasayansi viliandikwa na wanadamu wale wale ambao inawezekana nao wanapotosha ulimwengu. Tunasikia watu wameenda mwezini na sisi tunaamini kweli wameenda bila kuwashuhudia lakini pia hatujiulizi je aliyeuweka huo mwezi pale ni nani?... utasikia ni natural forces. Aliyeiumba dunia na vitu vyake utasikia ni natural forces.. wanaozifahamu hizo natural forces ni kakikundi ka wanadamu wachache wengine tunalishwa tu. Humwamini Mtume Paulo lakini unamwamini Isaac Newton humwamini Mtume Muhammad lakini unamuamini Charles Darwin. Science is business. Mleta mada kabla hujafa utauona uwepo wa Mungu na kutubu kama alivyouona baba wa taifa wa China Mao "Tse-Tung" ZeDong mpinga dini mkubwa kabla hajafa.
Kwanini unasema uwezo wetu wa kumjua Mungu ni mdogo?

Unaposema ni uwezo mdogo, umeulinganisha na nini?

Vitabu vya sayansi vimeambatana na tafiti lakini vya dini havina tafiti.

Huo uwepo wa Mungu nitauona na namna gani?
 
Kwahiyo ili hoja ya asiyeamini uwepo wa Mungu ni lazima ahoji uwepo wa vitu vingine tofauti na Mungu?........je akikwepa kutaja neno Mungu ndo hoja yake ya kutokuwepo kwa Mungu itakuwa kweli?
Msioamini uwepo wa Mungu,hamjawahi,wala hamtawahi,wala kuweza kujenga hoja zenu za kutokuwepo kwa Mungu bila kumtaja Mungu,hapo ndipo panapoonesha,hakuna anayejifanya haamini Mungu bila kumtaja Mungu,ndio ninasema na ninazidi kusema wanaosema hakuna Mungu sio wakweli,wanasema hawaamini Mungu huku wanaamini uwepo wa Mungu,tena wanaamini mara kumi zaidi kuliko wanavyosema.
 
Naona shibe ndo inakusumbua wewe, ni kufuru mbaya kupindukia unaposema eti hakuna Mungu na Kwa dharau zaidi unasema eti Mungu aliumbwa na binadamu.
Kama umekosa mada bora ukae kimya vinginevyo huu mwaka huwezi kuumaliza, Utakufa.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mahali uliposemea na mahali aliposemea na waliosemwa?
Wote waliosemwa wanaishi lakini waliosema mmoja atashughulikiwa na mwingine atadunda.
 
Cku utakapo pata mtihani mkubwa ndo utajua uwezo wake
Ndo maana nikasema Mtu alimuumba Mungu ili awe kielelezo cha mambo yaliyokosa majibu kwa upeo wa kiutu.
Mtu amejitengenezea nguzo katika fikra zake ili iwe sehemu ya kujipa matumaini pindi apatapo magumu.
 
We neng'eneka tu mkuu.
Muda utakapofika ndo utajua kama hao unaowakataa wapo ama ni nadharia za kusadikika tu.
Time will tell, and when it does it won't tell you in your mother tongue language.
Una akili nzuri kuhoji. Ila jaribu kufikiri kwa makini zaidi mkuu.
Kwa uelewa wako naamini hutapotea. Akuongoze alietuumba mkuu.
 
Kwanini unasema uwezo wetu wa kumjua Mungu ni mdogo?

Unaposema ni uwezo mdogo, umeulinganisha na nini?

Vitabu vya sayansi vimeambatana na tafiti lakini vya dini havina tafiti.

Huo uwepo wa Mungu nitauona na namna gani?
Kwavile hatujui kila kitu duniani ndo maana nasema uwezo wetu kumjua Mungu ni mdogo.

Nini maana ya tafiti kwa tafsiri yako?

Kwani vitabu vya dini havina tafiti kwa tafsiri yako?
 
Mleta hoja umeleta vizuri maana umeweka na ushahidi wa shaka yako juu ya uwepo wa Mungu. Wajibuji hatupaswi kukutisha bali tukujibu kwa ushahidi ulio wazi. Niseme tu kwa ufupi, In vigumu kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini nivigumu zaidi kuthibitisha kutokuwepo kwake, tunachoweza kuonesha uwepo wa Mungu ni kutaja maumbile, kanuni na mienendo iliyopo ambayo sio kazi ya mikono ya Mtu.
Kula like 100 mkuu. Badala ya kujibu hoja wanaanza lugha chafu na kejeli.
 
Kwavile hatujui kila kitu duniani ndo maana nasema uwezo wetu kumjua Mungu ni mdogo.

Nini maana ya tafiti kwa tafsiri yako?

Kwani vitabu vya dini havina tafiti kwa tafsiri yako?
Sasa kama uwezo wetu wa kumjua Mungu ni mdogo, ilikuwaje watu wanafahamu sheria, sifa pamoja na mapenzi ya Mungu?
Kama hujui maana ya tafiti itakuwa ngumu kukuelezea.........lakini kama vitabu vya dini vingekuwa na tafiti basi Mungu angechunguzika bila shida.
 
Wasioamini Uwepo wa Mungu,hawana utofauti na wanaoamini uwepo wa Mungu,inatakiwa wajitofautishe na wanaoamini uwepo wa Mungu.
1.Ikiwa wanaomini uwepo wa Mungu wanaoa na kuolewa,wasioamini uwepo wa Mungu wasioe wala kuolewa.
2.Wanaoamini uwepo wa Mungu,wanatafuta elimu kwa watoto wao,wasioamini uwepo wa Mungu,wasitafutw elimu kwa watoto wao.
3.Wanaoamini uwepo wa Mungu wanavaa nguo,wasioamini wasivae nguo
4.Wasioamini uwepo wa Mungu,wawe kinyume kwa kila analofanya anayeamini uwepo wa Mungu,kwa maana wanaomini uwepo wa Mungu wanafuata maamrisho ya Mungu,kupitia vitabu wanavyoamini ni vya Mungu.Kwa hiyo asiyeamini uwepo wa Mungu akifanya kama anavyofanya anayeamini uwepo wa Mungu,atakuwa na yeye anamuamini Mungu kivitendo,huku anasema kimaneno haamini uwepo wa Mungu.
 
We neng'eneka tu mkuu.
Muda utakapofika ndo utajua kama hao unaowakataa wapo ama ni nadharia za kusadikika tu.
Time will tell, and when it does it won't tell you in your mother tongue language.
Una akili nzuri kuhoji. Ila jaribu kufikiri kwa makini zaidi mkuu.
Kwa uelewa wako naamini hutapotea. Akuongoze alietuumba mkuu.
Una uhakika upi kuwa niliumbwa na flani?
 
Naona shibe ndo inakusumbua wewe, ni kufuru mbaya kupindukia unaposema eti hakuna Mungu na Kwa dharau zaidi unasema eti Mungu aliumbwa na binadamu.
Kama umekosa mada bora ukae kimya vinginevyo huu mwaka huwezi kuumaliza, Utakufa.
"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti."
Hata yeye hilo ni jema kwake
 
Naona shibe ndo inakusumbua wewe, ni kufuru mbaya kupindukia unaposema eti hakuna Mungu na Kwa dharau zaidi unasema eti Mungu aliumbwa na binadamu.
Kama umekosa mada bora ukae kimya vinginevyo huu mwaka huwezi kuumaliza, Utakufa.
Lema II
 
Back
Top Bottom