Hapa sijaelewa...

Hivi inakuwaje nikijaribu kupekua kurasa nashikwa mkono na kuelekezwa kwenye kipele, najaribu kusugua kipele mara natolewa mkono tena naelekezwa kwenye kurasa sasa mimi nashindwa kuelewa ni wapi hasa mwenzangu anapendelea?

Akina dada/mama naomba msaada kwa hili.

kwa hili msaada utaupata kwa mtu wako yy ndo anajua utamu ulipo so ww fata maelekezo mwisho wa cku mtafika kileleni
 
aaaaah Roy Roy sema usikike bana!!!
vipi Bakuli na mwiko vinaoshwaje siku hizi?? (aaah bado kwaresma....samahani kama utakuwa umekwazika)
Promised to get back on 5th april, remember?
Kiukweli umenikwaza sana, ukizingatia leo ni ijumaa.....
 
aaaaah Roy Roy sema usikike bana!!!
vipi Bakuli na mwiko vinaoshwaje siku hizi?? (aaah bado kwaresma....samahani kama utakuwa umekwazika)

Jamani hizi semi nyingine???????????Mwiko hapa umepatia sana. Leo nitaanza vizuri weekend yangu
 
Promised to get back on 5th april, remember?
Kiukweli umenikwaza sana, ukizingatia leo ni ijumaa.....

I forgot man!!!!....samahani kama nimekukwaza roy!!

Jamani hizi semi nyingine???????????Mwiko hapa umepatia sana. Leo nitaanza vizuri weekend yangu

hahaaaaa lol!!! mwingine nimemkwaza mwingine nimekuwa useful.....haya!!!
 
Back
Top Bottom