Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa morogoro(sua) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu moshi (mweka) ,lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga had saa 7, sms nkituma hajbu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana, naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Dogo hacha iyo kitu. Huyo alikuwa mpenzi wako b4 ivi hapo ulipo uoni watu wanavyooishi....chuoni rahaa sana mnaishi kama mke na mume. Kashaolewa huyo na wewe tafuta wakwako hapo ulipo. Ukizingatia na hali ilivyongumu amepata sehemu ya kufikia boom ikikata......!!!
Chuoni hakuna love ni kutembeza rungu tu. May be atakutafuta baada ya kumaliza chuo. Pole sana
 
Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.

Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
Hata hakituma kiasi gani kugongewa atagongewa tu. Kumbuka demu yupo moshi kila wakati baridi na baridi inavyoshawishi kugengeda.....mi nakushauri kama unampenda chukulia pouwa asipo pokea simu au hasipojibu sms usijiumize sana komaa na kitabu ukiwa na ugwadu tafuta wa kukupooza mkuu
Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.

Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.
 
Dah dogo pole,swala la kumegewa halikwepeki kwenye vyuo wewe jifanye kama ubongo wako umekufa uku ukisoma upepo,umuone kama kafa kwa msela huko chuo aliko mpotezee usije ukajichanganya na kitabu,wapo wengi tena wazuri hawana ata dili utapiga mpaka utachoka,change muhimu tafuta wa kukutoa mawazo,pili nikwambie ukweli kizazi hiki kinasumbuliwa na bayogesi kukaa wiki ajachokonolewa ni ngumu kule chini ni shida,wewe tumbua muache nae atumbuliwe mkimaliza mtakutana tu ndipo mkae mjiulize mnasonga au kila mtu kivyake,kwanza mapenzi ya vyuo ayadumu,wewe mwenyewe kuna mtu una mtu unamtumbua apo chuo use ujue alikotoka ana mtu ila hapo anapita kipindi cha mpito.
 
nimefikiria hayo maamuzi ya kumuacha lakini nashindwa najua nitaumia sana
Kaka Mara mia ukakaa pembeni kuliko kutafuta UKIMWI
Tuma hela za kutosha kufanya penzi lenu lisife, no one is strong against money and remember women are very weak for money.

Usitume sms, tuma hela atakutumia sms yeye mwenyewe.

Mkuu hakuna mapenzi magumu na ya kuepuka demu kutoliwa kama mnasoma vyuo tofauti.

Hata kama mnasoma chuo kimoja,wachache sana huepuka mademu wao kutoliwa na washkaji. Sembuse wewe ambaye mnasoma mbali hivyo? Demu kapata jamaa anamhonga na kummega vizuri tu.

Cha msingi nawe tafuta wa kumuoshea Rungu lako.
 
Mleta Mada Naye Anasoma Chuo Kikuu
Anashindwa Kung'amua Mtego Mdogo Kama Huo ? Ongeza Na Zako Kidogo

Hapo Ni Wazi Thamani Yako Inashuka Taratibu Kule Mweka Kuna Watu Pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom