Mrejesho: Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
2,354
2,763
Daaah! Nianze kwa kushukuru ushauri wenu mlionipa, nilileta uzi humu uliosema Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?
https://www.jamiiforums.com/threads/hapa-nishaibiwa-au-niendelee-kujifariji.1171488/

Kiukweli kutokana na mabadiliko nliyoona kwake tangu aende chuo nami nikaamua kumchunia lakini baada ya siku mbili alinitafuya yeye akasema nimsadie ela kidogo
nikamsaidia, lakini baada ya siku chache akaanza kupunguza mawasiliano tena sms hajibu watsap hadi za kawaida toka juzi hadi mda huu, na leo nimejitoa rasmi na nimefuta kila kitu chake kwangu + kumblok Fb na whatsap.
sifanyi haya yote kisa kumpa hyo ela lakini nimeona mwenzangu kanchoka,.

Hitimisho;

Naamua kuwa playboy kwa sasa sitaki wa kugandana elimu ya SUA yenyewe ngumu.
 
daa,nianze kwa kushukuru ushauri wenu mlionipa,kiukweli kutokana na mabadiliko nliyoona kwake tangu aende chuo nami nikaamua kumchunia lakini baada ya siku mbili alinitafuya yeye akasema nimsadie 10,000/= nkamsaidia,lakini baada ya siku chache akaanza kupunguza mawasiliano tena sms hajibu watsap had za kawaida toka juzi hadi mda huu, na leo nimejitoa rasmi na nimefuta kila kitu chake kwangu + kumblok fb na watsap, hitimisho, naamua kuwa playboy kwa sasa sitaki wa kugandana elimu ya sua yenyewe ngumu.
Una mblock mwenzio kwa vijisent kweli? utakua na roho mbaya sana wewe Kaka Khaaa!! povu linakutoka kwa hicho kiji elfu 10? ebu muongeze mwenzio upesi wacha ubahili usokua na maana...
 
Back
Top Bottom