Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Atakuwa yuko busy na maandalizi ya mtihani anataka GPA iliyoshiba na ww kaza msuli achana naye!
 
Kijana pole sana...Bado una imani na love in long distance.kumuamini huyu msichana ni sawa na mzazi ama mlezi amiin mtoto wake kupangiwa kidato cha tano na sita bila mchepuo au combination.usipo kuwa makini utakosa vitu vitatu elimu,pesa zako na huyo binti.Hapo fanya maauzi umkose huyo binti ili upate pesa na elimu yako......
 
mmh sizani mana kabadilika sana jana mempgia simu sa 4 kapokea kasema amechoka akakata, nkapga zaid ya mara 6 hakupokea tena
Dawa yake ni kumchunia na ww kuwa busy mkuu otherwise atakuchukulia easy easy tu.
Kipindi hiki ukiwa mwanafunzi kubali kuwa kuna probability kubwa ya kunyanyasika kwenye mahusiano hasa ukipata binti asiyejitambua asiyekuwa na upeo wa kuona mbali.
 
Chief kuwa mpole na uendelee kufanya assignment zako taratibu,kama demu yupo Mweka atakuwa ameshapata chalii wa Kenya anajipigia tu
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom