Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,464
2,000
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.

Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.

Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
 

Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,962
2,000
mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa morogoro nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu moshi (mweka) ,lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga had saa 7, sms nkituma hajbu nisilista anitafuti lakini nampenda sana, naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Mkuu hakuna mapenzi magumu na ya kuepuka demu kutoliwa kama mnasoma vyuo tofauti.

Hata kama mnasoma chuo kimoja,wachache sana huepuka mademu wao kutoliwa na washkaji. Sembuse wewe ambaye mnasoma mbali hivyo? Demu kapata jamaa anamhonga na kummega vizuri tu.

Cha msingi nawe tafuta wa kumuoshea Rungu lako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom