Hapa nilipo nipo kwenye mtihani wa kidunia

Hapa nilipo nipo kwenye mtihani wa kidunia

bora atifuliwe na wengne lakin kama na wewe kiu kimekubana unaweza pooza koo
 
Kijana acha ujinga pata elimu, elimu si madegree bali ni kujitambua na kuwa na staha.
Kugawa uchi ni tabia ya mtu, hata kama utatembea nae ataendelea tu, usijidanganye kuwa unaweza mtuliza.

Huyo ni mke wa kaka yako, mheshimu hata kama hajiheshimu. Acha mazoea ya kijinga ili akuheshimu.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
nimekuelewa bwana mkubwa
 
kwenye mtihani wa maisha inabidi uwe na maksi za kuvutia ili ushinde sasa wewe jilegeze uwe mbeba lawama.... chukua hatua.... notify the elders or your bro.
 
Fanya mambo ukiwa na ushahidi,unataka umchukue shemejiyo kwa tamaa za macho,kaka yako akija kukufuma sehemu ya maisha yako itabadilika..kwa sasa unaona ni kitu kidogo sana.
sawa kabisa ndugu,tatizo naweza nikamwambia bro alaf shem akaja kunigeuzia kibao c ndo itakuwa sihuli pevu
 
AISEE...
[h=3]Hata sijamtongoza[/h] Started by Mr mgeni, 6th May 2014 10:53
[h=3]Mama Kamkataa Mchumba Wangu[/h] Started by Mr mgeni, 11th May 2014 15:08
[h=3]story zangu wana jf zipo kimafumbo sanifu na zina mafunzo[/h] Started by Mr mgeni, 17th May 2014 13:25
[h=3]Nimetongozwa na shoga[/h] Started by Mr mgeni, 20th May 2014 10:26
[h=3]Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa[/h] Started by Mr mgeni, 1st June 2014 09:16

[h=3]Kanigeuka kisa kapata kazi[/h] Started by Mr mgeni, 11th June 2014 09:11

[h=3]Hapanaa...hapanaaa.. hii siyo wetdream[/h] Started by Mr mgeni, 14th June 2014 12:39
[h=3]Viagra vimeniponza,kelele zikawaamsha majirani[/h] Started by Mr mgeni, 19th June 2014 08:12

Hii inapoteza maana halisi ya JF, watu wako huku wanatoa ushauri wa maana kabisa kumbe ni story za Abunuwasi? Kwa nini mtu upoteze muda wa wenzio kupitia post zako wakati in reality haziexist? Au watu wanalipwa kwa wingi wa posts?????
 
Mwna take it from me, dont do t, mweleze kaka yako ukwel mana atakuja kukufanyia kitu juu ya wew kuto kungegeda afu utaulizwa nawe utasema ni kwa kuwa hukungegeda na none atakuamin, sana utauliza kama ni hivyo kwa nin hukusema?
 
hata ukimmega shemu wako anonekana ni wa hivo hivo tu.. utammgea na wa nje watammega pia. mwisho utaambulia maradhi tu... kaa mbali nae
 
hata ukimmega shemu wako anonekana ni wa hivo hivo tu.. utammgea na wa nje watammega pia. mwisho utaambulia maradhi tu... kaa mbali nae
tatizo la shemegi yangu ni nyege zinamsumbua akimpata wa kumtuliza anatulia
 
Mwna take it from me, dont do t, mweleze kaka yako ukwel mana atakuja kukufanyia kitu juu ya wew kuto kungegeda afu utaulizwa nawe utasema ni kwa kuwa hukungegeda na none atakuamin, sana utauliza kama ni hivyo kwa nin hukusema?
mbona maneno yako yananigusa mkuu
 
AISEE...
Hata sijamtongoza

Started by Mr mgeni, 6th May 2014 10:53
Mama Kamkataa Mchumba Wangu

Started by Mr mgeni, 11th May 2014 15:08
story zangu wana jf zipo kimafumbo sanifu na zina mafunzo

Started by Mr mgeni, 17th May 2014 13:25
Nimetongozwa na shoga

Started by Mr mgeni, 20th May 2014 10:26
Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Started by Mr mgeni, 1st June 2014 09:16

Kanigeuka kisa kapata kazi

Started by Mr mgeni, 11th June 2014 09:11

Hapanaa...hapanaaa.. hii siyo wetdream

Started by Mr mgeni, 14th June 2014 12:39
Viagra vimeniponza,kelele zikawaamsha majirani

Started by Mr mgeni, 19th June 2014 08:12

Tyta jamaa kumbe na wewe ngastukaa... huyu jamaa baada ya kusoma mada zake baadhi nkagundua atakuwa ni punga mara ooh shoga ooh viagra.....dume haliwez kuwa na tabia zakiboya dizaini hii....inawezekana ni hawa vijana waliomalza form4 mwaka jana anasubiria post za form5.....kaamua kuja kusubiria jf na hadith zake za kusadikika...pambavuuf sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asante kwa system hii uliyoanzisha. Mtu ukiona thread mbili tatu za mtu huyo huyo unapata picha kamili kuhusu ukweli wa thread zake.
Ukweli, hadithi na plain lies sasa vipo wazi mchana kweupe. Keep the ball rolling.

ww ni kachero nn@ tayta hahah....umetsha....
 
Tyta jamaa kumbe na wewe ngastukaa... huyu jamaa baada ya kusoma mada zake baadhi nkagundua atakuwa ni punga mara ooh shoga ooh viagra.....dume haliwez kuwa na tabia zakiboya dizaini hii....inawezekana ni hawa vijana waliomalza form4 mwaka jana anasubiria post za form5.....kaamua kuja kusubiria jf na hadith zake za kusadikika...pambavuuf sana
basi hapo unajiona umeandika point kweli,watu wengine kweli mnatiwa vidole.
 
Last edited by a moderator:
seeee temana na huyo shem wako asee kama ni kumsalit broo acha amsaliti ila ww usiwe daraja la usaliti kamanda angu nakuaminia sana manake ni wanaume wachache wanaoweza kuvumilia hali ngumu ya mitego hasa pale ambapo mashem wa kike wanapohitaj mrejesho daaaah endelea na moyo huohuo na mungu akubariki sana ila zingatia ushauri wangu japo ushauri n kama commodity ambayo imezagaa sana kila kona ila wanunuzi ni scarce
 
basi hapo unajiona umeandika point kweli,watu wengine kweli mnatiwa vidole.

akili za kipunga ndo zinavyokutumaa eeh mjibu Tyta ameorodhesha thread zako za kusadikika ewe madame mgeni. kwa stail hii bla shaka utakuwa unakalia visponjiii bibie..
 
Last edited by a moderator:
sawa kabisa ndugu,tatizo naweza nikamwambia bro alaf shem akaja kunigeuzia kibao c ndo itakuwa sihuli pevu
Wewe mwambie unaweza kaa kimya usimpitie shemeji kulinda heshima lakini yeye hapo hapo anaweza kukugeuzia kibao akamwambia bro unamtaka na yote sababu umeonyesha msimamo
 
yaan wewe ni Nyunyu na utakuwa nyunyu kama jina lako

Wewe una Mr mgeni unamatatizo ya akili!!! Post yangu ilitokana na ukweli wa post ya Tyta ambaye alionyesha series ya posts zinazofanana na hii!!! Unahitaji mzungu kugundua fiction katika post yako!

Sishangai maana wanafunzi wa siku hizi mna matatizo, uwezo wa kujadili na uchambuzi zero. Sibishani na mtu kama wewe...
 
Last edited by a moderator:
Mr mgeni
Mpige picha kisha mtumie kaka yako kama unampenda. Atamuua kaka yako kwa magonjwa hususan UKIMWI. Na wewe ukiingia hapo umeenda na maji.......na undugu na kaka yako umeishia hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom