Hapa nilipo nipo kwenye mtihani wa kidunia

Hapa nilipo nipo kwenye mtihani wa kidunia

Usijaribu kugusa mali ya kaka yako cha msingi kama kweli unampenda kaka yako mwambie ukweli kuhusiana na mkewe itasaidia
 
Usijaribu kugusa mali ya kaka yako cha msingi kama kweli unampenda kaka yako mwambie ukweli kuhusiana na mkewe itasaidia
sawa kabisa ndugu,tatizo naweza nikamwambia bro alaf shem akaja kunigeuzia kibao c ndo itakuwa sihuli pevu
 
tafauta mbeibi wako....achana na huyo Malaya, atakuangushia msala bure ukosane na kaka yako....Kunguru hafugiki hata siku moja.
 
lakini kuliko kiliwe na mtu baki c bora ndugu yako ale
Kwa hayo mawazo hushindwi kuwaza hivo hivo na kwa ndugu yako wa tumbo moja
kuwa kuliko aliwe huko bora ule wewe na hatimaye hata kwa mwanao
pole kwa mawazo hayo
 
Kwani unafikri akimmega ndo ataacha kwenda kwa jamaa mwingine. Huyo mwanamke hana adabu na ni wa kukaa naye mbali mbali kabisa kama nyoka.

Ila afadhali amege na yeye,,hana adabu vipi mtu anataka Dudu na kaka mtu wa kusafiri safiri hakai nyumbani
 
AISEE...
[h=3]Hata sijamtongoza[/h] Started by Mr mgeni, 6th May 2014 10:53
[h=3]Mama Kamkataa Mchumba Wangu[/h] Started by Mr mgeni, 11th May 2014 15:08
[h=3]story zangu wana jf zipo kimafumbo sanifu na zina mafunzo[/h] Started by Mr mgeni, 17th May 2014 13:25
[h=3]Nimetongozwa na shoga[/h] Started by Mr mgeni, 20th May 2014 10:26
[h=3]Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa[/h] Started by Mr mgeni, 1st June 2014 09:16



[h=3]Kanigeuka kisa kapata kazi[/h] Started by Mr mgeni, 11th June 2014 09:11

[h=3]Hapanaa...hapanaaa.. hii siyo wetdream[/h] Started by Mr mgeni, 14th June 2014 12:39
[h=3]Viagra vimeniponza,kelele zikawaamsha majirani[/h] Started by Mr mgeni, 19th June 2014 08:12

hahahaaaaa.... Mr mgeni amekuwa ni mtu Mwenye kupenda sympathy....
 
Last edited by a moderator:
tafauta mbeibi wako....achana na huyo Malaya, atakuangushia msala bure ukosane na kaka yako....Kunguru hafugiki hata siku moja.
mbona ma bby yupo!,bro wangu nae kao mwanamke mzur sana wacha wamchapie sina jinsi
 
100% ya story zako you are the victim.... !!!
unatongozwa wewe, unaonewa wewe, etc..
kama sio simpathy, what do you want?

no mkuu is not a feeling of pity or sorrow bt is a real life story I know its hard to undrestand I told you serio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom