Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari zenu wana jf,
Ni siku nyingine ya mapumziko tumshukuru Mungu kwa kutujaalia afya njema na kwa wenzetu wanaosumbuliwa na maradhi Mungu awajaalie mpone.
Ni mkasa wa kweli na hapa nilipo nipo kwenye mtihani wa kidunia.
Mimi naishi nyumbani kwa wazazi ndo nipo kwenye harakati za kutengeneza maisha yangu kama ni asilimia 100%basi mimi nipo kwenye asilimia 75% ili nihamie kwenye makazi yangu nijitegemee niepukane na kero za kubisha hodi na chakula cha shikamoo.
Kwenye familia yetu tupo wengi na wote wanajitegemea.
STORY KAMILI,kuna kaka yangu mmoja yupo hapahapa mjini Dar ni mfanya biashara ameoa na anaishi na mke wake,sasa kutokana na bro kusafiri mara kwa mara kibiashara mke wake hubaki mwenyewe nyumbani.
Ni shemegi yangu na ananipenda sana mara nyingi hunipigia simu niende kwake tukapige story na anapenda sana kunitoa out sina jinsi kwakuwa ni shem wangu sina shaka.
Sasa kaanza tabia ya kunitega Daah!kiukweli kama wewe ni mwanaume rijali rungu lazima isimame basi nakuwa kama nimesizi nimeduwa huwa nampotezea namwambia sio vizuri shem,ananiambia usijalli.
Nakumbuka kuna siku alinitega hadi nikawa nahema juju alivyo hana aibu alikuja kunikalia na kunipapasa kuepusha ilinibidi niondoke.
Sasa siku ya jumanne iliyopita kampigia simu bro kamwambia anapoozewa kukaa mwenyewe anataka mimi niende nikakae nae yaani nilale huko huko na bro kaniambia niende nikakataa nilimpa sababu za msingi.
Sasa jana nilikuwa bar moja nikamuona shem yupo na mwanaume wanafanya mahaba yao.
Sasa wana jf naombeni ushauri nimmege shemu ili asimsaliti bro au nimpotezee?
sielewi nifanye nini?