BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Ingekuwa ni wewe
Halafu kaka yako ammege mkeo...
Ungejisikiaje??
Badala umshauri kaka yako ajitahidi kutumia muda mwingi nyumbani na mkewe ili ammalizie nyege wewe unawaza kufanya upumbavu
Unajua madhara yake au kichwa cha chini kimechukua nafasi ya kichwa cha juu?
Heri shemeji yako atembee na mtu baki kaka yako ataweza samehe na haitoharibu familia kuliko atembee na mdogo eaje.
Hivi akili yakohaijui madhara yake?
Jinsi utakavyosambaratisha familia kama sio ukoo?
Hili nalo la kuombea ushauri? Kweli???