Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
- Thread starter
- #101
Mr mgeni
Mpige picha kisha mtumie kaka yako kama unampenda. Atamuua kaka yako kwa magonjwa hususan UKIMWI. Na wewe ukiingia hapo umeenda na maji.......na undugu na kaka yako umeishia hapo
hapana mkuu labda nitumie diplomatic nyingine kumfikishia ujumbe,nikisema nimtumie picha angali bado yupo huko kwenye shuguli zake atakuja kwaajili ya hiyo picha na kitakacho tokea itakuwa ngumu kusimulia
Last edited by a moderator: