hapa ni wapi?

hapa ni wapi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
article-2203467-1503078C000005DC-328_966x647.jpg
PIX.jpg
 
Hapo patakuwa ni Far East Mashariki mwa Bara la Asia sijuwi kisiwa gani hicho ehhhhh. Tutajie basi kama unakujuwa Mkuu Red Giant Hatari watu wanaishi ndani ya maji Llo!!!!!!!!! Mungu mkubwa jamani.............

Ndani ya maji kvp mkwe wangu?.....

Si kama zanzibar tu visiwa vyetu kimezungukwa na bahari
 
Last edited by a moderator:
Hapo patakuwa ni Far East Mashariki mwa Bara la Asia sijuwi kisiwa gani hicho ehhhhh. Tutajie basi kama unakujuwa Mkuu Red Giant Hatari watu wanaishi ndani ya maji Llo!!!!!!!!! Mungu mkubwa jamani.............
hapo ni mingingo kwenye ziwa victoria. hako kakisiwa ndio kenya naaa uganda wanagombania
 
Migingo is a tiny 2,000-square-metre (0.49-acre; 0.20-hectare) island, about half the size of a football pitch, in Lake Victoria.

Hicho kisiwa Uganda wanadai chao na Kenya wanadai chao, ni wakati muafaka Tanzania tukichukuwe kuondoa utata.
 
Hawa jamaaa wanamoyo sana....wameisha zoea mazingira yao.
 
Migingo is a tiny 2,000-square-metre (0.49-acre; 0.20-hectare) island, about half the size of a football pitch, in Lake Victoria.

Hicho kisiwa Uganda wanadai chao na Kenya wanadai chao, ni wakati muafaka Tanzania tukichukuwe kuondoa utata.
kenya-uganda-migingo2.jpg
 
Kisiwa chenyewe kidogo kama unyayo wa mtu halafu wanakigombania??
utafikiri kwenye movie moja inaitwa waterworld ambayo dunia yote ilijaa maji. itafute ikusogezee wekeend. hako wanakagombania kama fishing post na kutengeneza boat.
kenya-uganda-migingo.jpg
 
utafikiri kwenye movie moja inaitwa waterworld ambayo dunia yote ilijaa maji. itafute ikusogezee wekeend. hako wanakagombania kama fishing post na kutengeneza boat.
kenya-uganda-migingo.jpg

This is super awesome
 
Mkuu Red Giant nimefurahi kwa hiyojina la muve na nikipata muda nitaitafuta na ombi langu uwe unanifahamisha muve za historia huwa na mapenzi nazo asanti sana na mungu atujaliei maana siku hizi uhai ni mfupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom