Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Sisi malofa tunasema..."TATIZO NI MFUMO"
Sasa sijui ndo umeandika nini, panga pangua, lazima kuna ndugu, jamaa au marafiki zako directly au indirectly WATAISOMA NAMBA. You are not safe hommie kama hauwajibiki au hauwajibishi your close associates!
mpeni hata mwaka mmoja kwanza. kwani lowassa angeingia angeleta maji siku hiyo hiyo
Lowassa sio rais, simple and clear. Magufuli ndio rais mteule kachaguliwa na wengi! Na pia nakushangaa wewe jamaa, una kaheshima fulani humu jf ila umeshindwa kitafakari vitu vya msingi. Nimekushusha!
cha msingi ngoja tuone atafanya niniHata baada ya mwaka mmoja hataweza, maana wenzake wa mfumo wake wameshindwa katika miaka 50+ ...!!!
Lowassa sio rais, simple and clear. Magufuli ndio rais mteule kachaguliwa na wengi! Na pia nakushangaa wewe jamaa, una kaheshima fulani humu jf ila umeshindwa kitafakari vitu vya msingi. Nimekushusha!
Lowassa sio rais, simple and clear. Magufuli ndio rais mteule kachaguliwa na wengi! Na pia nakushangaa wewe jamaa, una kaheshima fulani humu jf ila umeshindwa kitafakari vitu vya msingi. Nimekushusha!
hapa ni kazi tu tunaisoma namba
![]()