Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
- Thread starter
- #21
Mkuu umezungumza Point ninakupa hongera......Hoja ya MziziMkavu ni kwamba waliosababisha hali hiyo na kuiona ni haki ya watanzania kuwa hivyo eti ndiyo hao hao wamechaguliwa kuibadili hali hiyo duni!! Hapa Kazi tu! Ingawa siku ya kuapishwa kwa Rais mwenyewe tumeambiwa hakuna kwenda kazini!!