kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mkuu wa Mkoa wa Tanga amedai wapo madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona lakini hawakuwakataa alimaanisha na Kenya waruhu madreva wetu bila kujali Hali zao kiafya waingie Kenya. Swali;
1. Walipimwa lini?
2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar?
3. Walipimwa lini kwa sababu maabara yetu imefungwa?
4. Mpaka wa horohoro unapima corona au wanapima Joto?
1. Walipimwa lini?
2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar?
3. Walipimwa lini kwa sababu maabara yetu imefungwa?
4. Mpaka wa horohoro unapima corona au wanapima Joto?