Hanipi denda

Taratibu NN huyu mnuka mdomo ndio mwenye hati miliki ya hii thread be warned lol!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
snuki mdomo,mdomo wangu naweza kuutunza,thanx anyway!mazuri yote nimeyachuka
 
mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari alimwambia asitumie demda!hv kwel mate yanazuliana?

hivi we ni me au ke ?
Denda?! Tafuta wa denda yeye mtunzie huko chini.
 
Ahhaa aise utu uzima dawa mzee kama upewi hyo kitu kuna m2 anapewa kila kitu inaonekana mapenzi hapo hakuna anataka dudu basi
 
makubwa kweli dunia kuna watu na viatu kama mwanzo mlikuwa mnakulana denda leo hii kimetokea nini? muulize kwa ustaarabu atakuelewasha zaidi nini anahofia wala sio issue ya doctor
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
snuki mdomo,mdomo wangu naweza kuutunza,thanx anyway!mazuri yote nimeyachuka
Nikupe namna ya kufahamu kama unanuka mdomo au la,lamba nyuma ya kiganja chako na paache pakauke kidogo kisha panuse,kama ukihisi harufu yoyote ujue we ni 'NO SMOKING' -hili ni jina vijana wa zamani tulikuwa tunawaita wanuka mdomo.
Natumai itakusaidia na uje utoe majibu hapahapa.
 
Nasikia kuna ugonjwa unaoambukiza kwa njia ya denda (kunyonyana ndimi). Ugonjwa huu unaitwa herpatitis c na b. Kuna wakati mwingine ukitoka kula denda unaweza kusikia maumivu kama ya kujaa gesi tumboni au kichefuchefu. Kunyonyana ndimi sio kitu salama kiafya. Pia wakati mwingine inawezekana una harufu inayomkera mwenzio, harufu hiyo inaweza ikawa inatokana na jino bovu, au aina ya vyakula unavyokula. Ni vizuri kucheki kinywa chako.
 
Asante Happiness, you are right. This is Scientific
 
duh! JF jungu kuu, hata kama una minyoo inapona!.... nawe mnyime akipendacho uone atarudi mwenyewe mstarini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom