Hanipi denda

lol! asije akajichubua tu kama huyo marehemu! madini yanachimbwa mdomoni?kha!

Source: mwalimu wangu wa kemistri, form 2

Kama kuna kitu nakijali sana ni afya ya kinywa changu na huenda kwa dentist mara 2 kwa mwaka bila kukosa na huwa nauliza sana maswali.

Kamanda hapa naona unapaisha CV, Husninyo yuko online nini?

na mtihani wa form 2 ulipita kweli ww? ama ndo ulipewa oral exam kama ile ya watoto wa vigogo bot?
afu uache kumzonga uporoto,manake ni mwanangu wa kambo!
Source: mwalimu wangu wa kemistri, form 2

Kamanda hapa naona unapaisha CV, Husninyo yuko online nini?

kaniwahi tiba! manake nlitaka niseme atumie mrigariga wa kutafuna mara mbili kutwa,lol! hivi mate yake hayawezi kuwa chanjo ya hiv?

Unajua hapo red una pointi! huyu jamaa anaweza akawa anatembea na tiba au chanjo muhim sana kwa jamii, mimi namshauri akaonane na Daktari! halaf aruhusu udenda wake ukachunguzwe lab.

Niliwahi kushuhudia mdada mmoja (jina tunalo) alikuwa anauza nywele zake za siri kwa ajili ya tiba ya pumu.

na mtihani wa form 2 ulipita kweli ww? ama ndo ulipewa oral exam kama ile ya watoto wa vigogo bot?
afu uache kumzonga uporoto,manake ni mwanangu wa kambo!

Form 2 ya mkoloni bana! enzi zile ukimtongoza mwalim tu basi unapasishwa automatik kwa vote of confidence.

labda mdomo wako unanuka,amekuambia kistaarabu.mwanzo denda liwepo,baadae lisiwepo,hujui kuna walakin hapo?

Uwezekano huo ni mkubwa; pia anaweza kuwa hajui kukiss so mwenzie anakereka!

source? sangoma?

QUOTE=klorokwini;2452652]
Niliwahi kushuhudia mdada mmoja (jina tunalo) alikuwa anauza nywele zake za siri kwa ajili ya tiba ya pumu.[/QUOTE]

na mtihani wa form 2 ulipita kweli ww? ama ndo ulipewa oral exam kama ile ya watoto wa vigogo bot?
afu uache kumzonga uporoto,manake ni mwanangu wa kambo!
Kloro you have been warned na mama yangu wa mujini shauri yako kuna jamaa aliwahi kubishana na mimi sasa hivi kahamishiwa Mbamba bay kikazi lol!

Kloro you have been warned na mama yangu wa mujini shauri yako kuna jamaa aliwahi kubishana na mimi sasa hivi kahamishiwa Mbamba bay kikazi lol!

Kamanda huu umama umeanza lini? mbona kwenye faili zangu hakuna? au umeamua uingie na gia ya umama mala hii? Dah! kamanda bana

umeanza siku mingi eeh? ingekua unarekodi ungekua na single nyingi kuzidi nasma kadogo,lo!

Mimi ni mtiifu bana! nina koran na biblia mpya kabisa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom