Hanipi denda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hanipi denda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nzenzu, Sep 5, 2011.

 1. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari alimwambia asitumie demda!hv kwel mate yanazuliana?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Duh! Hakuna uhaba wa burudani humu ndani...

  Huenda mate yako kweli yana kemikali zinazomsababishia canker sores au labda hakufeel kihivyo tena.
   
 3. Mghoshingwa

  Mghoshingwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Mmmmmmmmh!
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Khaaa!! na wewe si upige mswaki vizuri, tena kwa kutmia jik
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  sucks to be you man!
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo kakurudia kwa malengo, usidhani kweli anakupenda. Ndiyo maana anataka atimize timize wajibu na siyo kukupa penzi lake la moyoni. Hata kwa daktari hajawahi fika hata siku moja!
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Au huenda anakuonea huruma akikumbuka miwa ya haja aliyoitafuna mlipotengena
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ya daktari inaweza kuwa geresha tu, Unapiga mswaki???
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  achana na denda, utamaduni wa kizungu huo. rudi eden.
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kama hali ndio hiyo mkuu usje ukaenda chumvini mama akiwa mjamzito, unaweza ukauwa kizazi. Dah!
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  lazima mtoto atokezee kipofu.....
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Dah! kamanda ile nyumba ndogo inakusaka mbaya sana!
  bek to ze topik: jamaa denda lake linaweza kutumika kutengezea spray za kuulia nzi.( kama hii kesi ni kweli)
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  au kutengenezea moskwito repellent,lol! i will be 1st customer!
  <br />
  <br />
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Tanzania tuna maadini mengi ujue! wataalam tu ndo hatuna. jamaa kama angezaliwa marekani huyu angekuwa anatembezwa kwa mwavuli kama maiko jackson ili kemikali zake zisilowe mvua
   
 15. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180

  mate ya jamaa yanaweza kuwa klasifaidi kwa simbo hii cx}<:?
   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  labda mdomo wako unanuka,amekuambia kistaarabu.mwanzo denda liwepo,baadae lisiwepo,hujui kuna walakin hapo?
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapo anakwambia kistaarabu kuwa unanuka mdomo,huna meno yaliyooza ? unapiga mswaki mara 2-3 kwa siku ? unasugua ulimi ? kama majibu yote ni ndio basi sukutua na maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na chumvi na pia tafuna chewing gum ya mint.
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh hii mpya!
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Na Dr ambae hana ofisi maalum naona tayari ametoa solution hapa chini. sibitisha!

   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  lol! asije akajichubua tu kama huyo marehemu! madini yanachimbwa mdomoni?kha!
  <br />
  <br />
   
Loading...